hapo nani kampapalikia mwenzie?

hapo nani kampapalikia mwenzie?

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,472
apo nani kampapalikia mwenzie?
 

Attachments

  • IMAG0194.jpg
    IMAG0194.jpg
    828.3 KB · Views: 1,652
Jk nae jamani hizi ni aibu huyo nae ni nani?
 
Jk nae jamani hizi ni aibu huyo nae ni nani?

Ukitaka kuijua power ya Beckam waulize ReaL Madrid wambao walikata shauri la kumsajili wakati soka lenyewe lilishaisha kwake!
 
Kuna post tayari kuna mtu kairusha ambayo iko sawa na hii humu jamvini
 
Hapo je mnasemaje
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1337297576231.jpg
    uploadfromtaptalk1337297576231.jpg
    7.5 KB · Views: 1,586
Mwacheni Mkulu ale nchi kwa raha zake.
 
Ina maana PKagame angekutana na DBeckham pale airport UK wasingesalimiana??na PK kumuomba DB akatembelee nchi yake kuitangaza kiutalii???
 
wabongo wana mitazamo ya ajab cjapata ona,kwahyo jamaa kachemsha kupga pcha na beckz.....?ivi kweli hata katika hili mnamsurubisha JK?katka mengne yah bt hili?n mwanadamu naye anayependa mpira na amemwna mchezaj anayempnda kapga naye ma4to,kueni kiakili na kmawazo...
 
Kama kawa ya mheshimiwa wetu. Hili tukio lilipangwa ama limetokea tu kwa bahati hapo Heathrow?
 
sikuwahi kudahani kuwa kabla ya June 2012 ningeona picha kama hii, ama kweli!
 
apo nani kampapalikia mwenzie?
Pamoja ya kuwahi kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bado anaonekana mshamba tu ....cjui mwanzo alikuaje aisee...Mtu kama yeye mwenye wapigapicture maalum anapigaje picture kama wamekutana tu kwa bahati hivi ?..aaagh anatuaibisha bhana kama aje apunguze ukwere.
 
Back
Top Bottom