hapo nani kampapalikia mwenzie?

Next step. Beckham anakuja Tanzania.

Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete. Jitu la watu.

Wenye vijiba na viwakwame!
 
Jk hashindwi kumwambia jamaa aje Tanzania kwani ataenda mbuga za wanyama Bure.....
 
Nyie mngekutana nae msingepiga picha nae mkazisambaza Facebook ??
 
Kweli JK ndomana anshngaswa na umaskini wetu tumekalia majungu tuuuuu badala ya kujishugulisha na maendeleo yakujiongezea vipato mnakalia ubuuzi sasa unashangazwanini hapo kama bekam hata obama amepiga nae picha Mkuu Jakaya leo nimelipata jibu watanzania nhatuta endelea kimaisha wala kipato kwakuwa wajinga tunamajungu
 
Mnashangaa nini huyu mkweree kupiga picha na Beckam , kwani ninyi hamjui kuwa jamaa anapenda kuuza sura!!
 
Hivi huyu raisi wa soka au rais wa nchi?

546295_10150902968758501_845618500_9781795_871575144_n.jpg

Rais wa masharobaro.
 
Back
Top Bottom