Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

Ahsante kwa haya ya chini, unahitaji pongezi:

Faizafoxy mngekaa kimya mkamwaga sera zenu haya yote yasingetokea, lakini nyie ndo sababu ya haya yote yanayotokea, mkifanyiwa nyie ooh uvunjifu wa amani, mnatupeleka wapi, tizama mzizi ni wapi watu hawawezi kukurupuka tu, by the way ile dawa ya kuotesha nywele umeitumia inafanya kazi manake ulikuwa unaipigia promo, tunataka mrejesho ili na sie tuitafute
 
Sasa hivi nnaona mmekuwa ukiwa, mambo yameshaonekana.

#HapaKaziTu
 
Pole sana kijana, ninakusikitikia sana kwa kutokuwa na msimamo.

Watu kama wewe ndiyo hamjui mlitakalo, Mwigulu anasema hamna "agenda".

Akili zenu za kushikwa na ndiyo maana siku nyingi tumesema nyinyi ni misukule.

As long as ni wewe, mwigulu na watu wa aina hiyo ndio mnaosema hatuna agenda wala sishtuki. Agenda yetu ni CCM iondoke madarakani. Agenda yenu ni mirija yenu mliyotegesha kwenye kodi zetu isikatwe..
 
CCM utaitowa madarakani kwa lipi? Unanini zaidi mtu leo nimekuwekea post yako unayomshambulia Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa sana, baada ya muda si fisadi tena?

Hivi kwa akili kama hiyo unafikiri utaiondowa CCM?

Pole kijana, unajitia maumivu ya moyo tu.

Haihitaji akili nyingi kama zako kuinyima kura CCM. Nitaiondoa kwa kura
 
CCM utaitowa madarakani kwa lipi? Unanini zaidi mtu leo nimekuwekea post yako unayomshambulia Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa sana, baada ya muda si fisadi tena?

Hivi kwa akili kama hiyo unafikiri utaiondowa CCM?

Pole kijana, unajitia maumivu ya moyo tu.

#HapaKaziTu

UKAWA waliomtukana Lowassa leo wanamsifu. Usisahau ccm waliomtetea na kumtukuza Lowassa leo wanmpinga na kumkejeli, so ngoma droo
 
Mbona Lowassa na Sumaye wanalindwa na usalama wa taifa?hata wewe ukitishiwa amani utalindwa na usalama wa taifa na hata polisi.

Lowassa waziri mkuu mstaafi kadhalika Sumaye.Slaa ni nani?
 
mimi nimeziba masikio sitak porojo ila kura yang ipo kwa lower sir
 
Sasa hivi nnaona mmekuwa ukiwa, mambo yameshaonekana.

#HapaKaziTu

nia yenu mnataka mzidi kandamiza wanyonge tu hakuna lolote, ahadi si zile zile kila baada ya miaka mi5, sana sana nchi inadidimia, tembo wamepungua, meno ya tembo yamepamba moto, madawa ya kulevya ndo usiseme, wanajulikana lakini hawasemwi, wanateketeza cosmetics lakini madawa yakikakamatwa sijawahi sikia wakiyateketeza, na wanaokamatwa wala sura zao huzioni, sasa tunapelekwa wapi jamani, fikiri kwanza,

sasa hivi ccm ilitakiwa itoe sera zake na waombe msamaha kwa wananchi kwa yaliyotokea, tuyaache ya zamani tuunde serikali mpya yenye hiki na hiki, hapo wananchi watawaelewa, lakini nyie kutukanana tu, uchaguzi ukiisha mtaweka wapi sura zenu, lowassa imekuwa ni sera na ilani ya uchaguzi ccm, lililopo ccm iwaombe wananchi msamaha kwani imewakosea, ukidai haki unang'olewa kucha na meno, sasa hao hao wananchi wamechoka na huu uonevu, mtu anakamatwa kabisa na kosa anakwambia umeona flani alishawahi fungwa kwa hiyo mie sitafungwa na kweli hafungwi,
 
Ulitaka udanganywe kuwa utatajirishwa?

Maisha ni yale yale na ahadi ni zile zile.

Na huo ndiyo ukweli.

Kabla ya miaka 1o uliambiwa utakuwa na maisha bora, hukuelewa maana yake lakini ni kuwa umepata zaidi ya maisha bora. Kabla ya miaka 10 ulikuwa unatarajia kuishi miaka 48, leo unatarajia kuishi miaka 62. Dogo hilo?
 
haya nieleze hayo maisha bora ni yapi zaidi ya kututesa, kutunyanyasa, kuvunjiwa nyumba, kuchomewa nyumba, kuuzwa mashamba yetu mpaka na wanyama wa waarabu, mie maisha bora naona ndio hayo, dogo kweliwala sio kubwa,
 
mie hukuona na kukufananisha na gazeti la uhuru tu
 
haya nieleze hayo maisha bora ni yapi zaidi ya kututesa, kutunyanyasa, kuvunjiwa nyumba, kuchomewa nyumba, kuuzwa mashamba yetu mpaka na wanyama wa waarabu, mie maisha bora naona ndio hayo, dogo kweliwala sio kubwa,

1) Umeteswa nini na wapi? Ukiwa muongo uweke na ushahidi, tuhuma za mtu kuteswa ni nzito sana.

2) Umenyanyaswa nini na wapi? Ukiwa muongo uweke na ushahidi, tuhuma za mtu kuteswa ni nzito sana.

3) Umevunjiwa nyumba yenye vibali vyote bila kulipwa? Kama umevunjiwa nyumba bila kulipwa basi ulijijengea kiholela, tena nchi zingine unalipa gharama zote za kuvunjiwa na kama huna unafungwa, shukuru Mungu wewe upo Tanzania na umebomolewa tu.

4) Umechomewa nyumba yenye vibali vyote bila kulipwa? Kama umechomewa nyumba bila kulipwa basi ulijijengea kiholela, tena nchi zingine unalipa gharama zote za kuchomewa na kama huna unafungwa, shukuru Mungu wewe upo Tanzania na umemechomewa tu.

5) Hilo shamba lako lililouzwa liko wapi? Na nani aliuziwa?

Tanzzania hii ardhi ya kulima kibao, inatafuta watu, leo wewe unatuletea porojo la kunyang'anywa shamba lako likauzwa? Hilo shamba lako liko wapi?

6) Wanyama na Waarabu wamehusu nini? Ulimuona Mwarabu hata mmoja kashikwa au kupelekwa mahakamani kwa kesi ya ujangili?

Maisha bora leo hii nimekupa mfano mdogo sana, ulikuwa una matumaini ya kuishi miaka 38 tu wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa wakayapandisha mpaka kufikia 48, Kikwete kayafikisha miaka 62.

Unafikiri miaka hiyo ya kuishi inapanda tu kama hauna maisha bora?

Sasa nnakuuliza, hayo yote uliyoyalalamikia huyo mgombea wenu asiyejiweza alikuwa serikali ipi?
 
Viongozi mamluki kutoka CCM, wawe jasiri siyo tu kutoa tuhuma za uovu wa Serikali ya CCM, pia waseme walishiriki vipi katika tuhuma hizo ama kwa kuzizuia au kwa kufunga macho na midomo. Mbali na hilo nasema wazi ni wanafiki. Kana siyo ubafiki kwa nini wakichukua fomu kugombea ndani ya CCM wabayodai ina maovu yasiyorekebishwa ila nje yake.

UKAWA sasa basi, mtaipekeka nchi pabaya kwa kuchochea chuki ndani ya mioyo ya vijana kwa kuwa hawana ajira, suala ambalo ni la nchi zote duniani. Dawa ni kupambana na rushwa na mafisadi na kwa kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo mahali tulipo. CCM kama chama bado ni chama mahiri, makini na chenye siasa safi ya Ujamaa na kujitegemea.
 
Pesa ya escrow ni uma au sio ya uma?
 
Pesa ya escrow ni uma au sio ya uma?

Hoja ni uadilifu na uwajibikaji wa viongozi wanaoomba kura yangu. Wahusika wa maovu yote, ni pamoja na ESCROW, watawajibishwa na mahakama ya mafisadi. Mimi naamini hivyo kutoka kwa mgombea ambaye anaaminika kwa kauli zake,mkwani kwa miaka 20 akiwa madarakani akitumika wananchi, amedhirisha hivyo.

Hao mamluki, kitendo cha kuchukua fomu za CCM kuomba uongozi, wakatemwa na Kugamia UKAWA kwa nafasi hizo hizo, huku wakichimba mkwara wa maovu walioshiriki, ni unafiki mtu na kutokuwajibika kwa maamuzi ya pamoja.

Kitendo cha viongozi wa UKAWA kuwakaribisha waliowananga kama mafisadi (kauli zao hadi leo hawajazikanusha) nao si tu wanafiki ila WAHUNI.
 
Back
Top Bottom