Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

Ukawa hawajawahi kuipeleka nchi pabaya kama CCM walipoifikisha bro, CCM tunataka nchi yetu imewashinda miaka zaidi ya 50 eti nae mgombea analalamika kwa waTz hajui twiga walipandaje ndege, hajui kwa nini maduka binafsi ya madawa yanadawa ila mahospitalini Hamna, hajui mafisadi wametufikishaje hapa, hajui madeal makubwa ya ufisadi kama escrow yamefanywa na kina nani na waliopewa mgao wanapambana warudi bungeni, kama kweli CCM mngekuwa serious na mabadilko tunayotaka wote waliohusika na escrow wangekatwa mapemaaaa, kwa kuwa business as usual mnajua malofa watawachagua tu, labda hao watu wenu wasiojitambua ndio watawachagua, kwa mimi ambae nahitaji mabadiliko tika 1995 hamjawahi kupata kura yangu yoyote, pia pamoja na wenzangu wanaohitaji mabadiliko kwa mda mrefu lazima 25 Oct tukawachinjie baharini hatutaki kuona mzoga wowote wa CCM
 
1) Umeteswa nini na wapi? Ukiwa muongo uweke na ushahidi, tuhuma za mtu kuteswa ni nzito sana.

/QUOTE]

we naona ndio wale wale gazeti la uhuru, hivi kabisa faizafoxy unasema kabisa miaka 10 ya mkwere kuna mabadiliko yapi,

najibu hoja zako kama ifuatavyo

2) Umenyanyaswa nini na wapi? Ukiwa muongo uweke na ushahidi, tuhuma za mtu kuteswa ni nzito sana.
- wamanchinga, mama ntilie kuvunjiwa, operation tokomeza, yote huyaoni au haupo nchini we upo nje unasikia mema, mazuri aliyofanya ni machache maovu ni mazuri halafu unasema unataka mifano, kumbuka wazaramo walisema, kusoma hujui hata picha huoni

3) Umevunjiwa nyumba yenye vibali vyote bila kulipwa? Kama umevunjiwa nyumba bila kulipwa basi ulijijengea kiholela, tena nchi zingine unalipa gharama zote za kuvunjiwa na kama huna unafungwa, shukuru Mungu wewe upo Tanzania na umebomolewa tu.

- wangapi wamevunjiwa na kulipwa pesa ambazo haziendani na kiwanja na gharama alizojengea, we kweli huna uchungu na wananchi wewe, kama ccm ingefanya mazuri, wala kusingekuwa na ukawa, nenda botswana leo na waone, ushasikia wana vurugu, au vuguvugu la siasa, watu shwaari wanakula maisha, inatakiwa nchi iwe vile, halafu unataka ushahidi, umekuwa kipofu wewe au kiziwi, hata kipofu na kiziwi wanajua, umetizama jana taarifa ya habari, umemuona samia alivyokuwa anasikia malalamiko ya yule kiwete,

4) Umechomewa nyumba yenye vibali vyote bila kulipwa? Kama umechomewa nyumba bila kulipwa basi ulijijengea kiholela, tena nchi zingine unalipa gharama zote za kuchomewa na kama huna unafungwa, shukuru Mungu wewe upo Tanzania na umemechomewa tu. -
- Aliyelipwa katika operation tokomeza nani, nenda arusha angalia wamasai, wamang'ati na wahadzabe wanavyolia, walivofanya na operation tokomeza yote huoni, hata aliyevaa miwani ya mbao anaona vile vile kwa tunavyofanywa

5) Hilo shamba lako lililouzwa liko wapi? Na nani aliuziwa?
- topic ya kuuzwa kwa shamba sijaiongelea ila mashamba yanauzwa kweli bila ridhaa ya wenye mashamba na wanavjiji, kila siku tunaona habari hapa, na mengine kwa kuficha aibu kinana kafight yamerudishwa nani aliyoyauza kama sio nyie gazeti la uhuru

Tanzzania hii ardhi ya kulima kibao, inatafuta watu, leo wewe unatuletea porojo la kunyang'anywa shamba lako likauzwa? Hilo shamba lako liko wapi?
- ni kweli tanzania ina ardhi kibao sijakataa hapo umenena ila tu kwanini wavamie makazi ya watu na watu wapelekwe porini wakaanze maisha mapya wakati hao wawekezaji wanatakiwa wapelekwe maporini?

6) Wanyama na Waarabu wamehusu nini? Ulimuona Mwarabu hata mmoja kashikwa au kupelekwa mahakamani kwa kesi ya ujangili?
- nani ampeleke wakati wenye nchi ndo wamewaweka, wamasai washalalamika sana tena sana, kwenye vyombo vya habari wanavyofanywa na serikali hii, umesikia hatua kuchukuliwa, yani wewe ni katili kuliko nilivyokufikiria aisee,

Maisha bora leo hii nimekupa mfano mdogo sana, ulikuwa una matumaini ya kuishi miaka 38 tu wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa wakayapandisha mpaka kufikia 48, Kikwete kayafikisha miaka 62.
- hizo takwimu ni za kizushi, kwamba kikwete afikishe maisha ya kuishi miaka 62, babu yangu kafa kipindi cha mwinyi na alikuwa na miaka 102 je naye utasema mkwere ndo kapeleka miaka hiyo, sijui mtanzania gani wewe du mwenye roho nyeusi hivi, ati watz sasa wanafika miaka 62, kwa lipi
 
Back
Top Bottom