Mimi ni Mtanzania nasema basi inatosha ghiriba za UKAWA kutaka kuingia Ikulu kwa gharama zozote zile. Maneno yaliyotokewa leo na "Mchungaji Gwajima" na yale ya "padri" Dr Slaa, wote wana CHADEMA, si ya kupuuza kwa jinsi yanavyogusa usalama wa Taifa hili. Chonde chonde tuyafakari kwa kina, kwani siyo tu kwamba wanajibizana tu hawa wawili bali yaenda mbali zaidi na kugusa hata imani zetu.
Usijali kelele za Gwajima ni baada ya October atazimika kama jina lake "Gwajima" atazimika kabisaa!! Mtakuwa mnajiuliza hivi gwajima yupo??