Ndio maana wanatumia muda mfupi kutoka Durban hadi Kasalumbesa kuliko kutoka Dar.
Aisee, Ukitoka Durban to Kasumbalesa ni kilometer 2750 ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 35 (2 days and 14 hours). Lakini ukitoka Dar to Kasumbalesa ni Km 1958, mwendo wa masaa 27 ( 2 days and 3 hours). Anayetokea RSA atafika mapema kuliko anayetoka bongo kwa sababu ya ukiritimba njiani (Bureaucracy). wenzetu wanatembea usiku na mchana na barabara zao ni nzuri pia. Hata hivyo, Road toll njiani zinapoteza muda ikiwa pamoja na speed limit. hapo lazima utofauti uwepo...