M maswitule JF-Expert Member Nov 5, 2010 1,392 476 Jul 20, 2016 #3 Barabara ya Songea sehemu ya Lutukila
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #4 maswitule said: Barabara ya Songea sehemu ya Lutukila Click to expand... Umekosa.
M maswitule JF-Expert Member Nov 5, 2010 1,392 476 Jul 20, 2016 #6 Barabara ya kwenda kasumulu Malawi mbele Kidogo ya njia panda panda ya Kiwira Coal Mine
M mkonomtupu JF-Expert Member Jul 5, 2011 441 118 Jul 20, 2016 #8 maeneo ya Iyovi - Ihefu ukitoka Mikumi kuitafuta Ruaha Mbuyuni
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,733 26,879 Jul 20, 2016 #9 Mkuu mi mwenyeji sana wa hizo barabara lakini duu hapo umeniacha
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #10 Mmekosa wote. Endeleeni kujaribu.
tiazo Member Jan 24, 2013 68 31 Jul 20, 2016 #11 Bavaria said: View attachment 367997 View attachment 367998 Click to expand... Kitonga
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 21,601 38,144 Jul 20, 2016 #12 umeniacha solemba aseeh, napenda sana kusafiri ila hapo yawezekana nilipita nikiwa nimelala.............
umeniacha solemba aseeh, napenda sana kusafiri ila hapo yawezekana nilipita nikiwa nimelala.............
Muharango JF-Expert Member Jul 2, 2016 1,663 1,036 Jul 20, 2016 #13 Hivi hakuna wenyeji wa maeneo haya jamani, watusaidie?
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #15 tiazo said: Kitonga Click to expand... Hapana.
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #16 Kasinde said: umeniacha solemba aseeh, napenda sana kusafiri ila hapo yawezekana nilipita nikiwa nimelala............. Click to expand... Hujawahi kufika hapa. Hata kupita.
Kasinde said: umeniacha solemba aseeh, napenda sana kusafiri ila hapo yawezekana nilipita nikiwa nimelala............. Click to expand... Hujawahi kufika hapa. Hata kupita.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 21,601 38,144 Jul 20, 2016 #17 Bavaria said: Hujawahi kufika hapa. Hata kupita. Click to expand... Waacha weeeh, hahahahahaa umenifanya nirudishe kumbukumbu zangu nyuma kama huwa tunasafiri wote..............
Bavaria said: Hujawahi kufika hapa. Hata kupita. Click to expand... Waacha weeeh, hahahahahaa umenifanya nirudishe kumbukumbu zangu nyuma kama huwa tunasafiri wote..............
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #18 andjul said: Ni maeneo ya igawa Click to expand... Ongezea nyama.
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,395 Jul 20, 2016 Thread starter #19 Kasinde said: Waacha weeeh, hahahahahaa umenifanya nirudishe kumbukumbu zangu nyuma kama huwa tunasafiri wote.............. Click to expand... Ushawahi toka nje ya tanzania kwa barabara?
Kasinde said: Waacha weeeh, hahahahahaa umenifanya nirudishe kumbukumbu zangu nyuma kama huwa tunasafiri wote.............. Click to expand... Ushawahi toka nje ya tanzania kwa barabara?