Hapa wapi wakuu

Hapa wapi wakuu

attachment.php

Lembeni
 
Hapo ni lembeni kabla hujafika hill daraja kama unatoke samekm 4 treni inapita daraja lachini.
 
Hapo ni pale ambapo kila kabla ya kupita, nawaambia wote wainamishe kichwa... jibu nalopataga ni... "na'am"
 
Hilo ni daraja la reli ya tazara liko kati ya vwawa na tunduma. Barabara iendayo zambia
 
Hapo ni barabarani ambapo treni inapita juu na magari chini mojawapo ya teknolojia za tz
 
hapo ni lembeni (karibu na mwanga)

Sina hakika ni wapi ila sio Lembeni hapo. Chunguza mfano unatokea Same kwenda Moshi, mbele kushoto kuna kimlima pia kuna mashamba ya mkonge na barabara imenyooka haina kona.

Ukiangalia kama unatokea mwanga kuja same Barbara inakimwinuko flani lakini kushoto kwako hakuna hicho kimlima.
 
hapo ni pale ambapo treni hupita juu magari chini
 
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 222388_448259761904690_1084846540_n.jpg
    222388_448259761904690_1084846540_n.jpg
    75.3 KB · Views: 743

Similar Discussions

Back
Top Bottom