Hapa Tanzania, Makundi mengi ya WhatsApp ni ya hovyo sana

Kwetu sisi hakuna huo upuuzi ni biashara tu basi
Lengo la WhatsApp group na uzi ulioufungua wa kuhusu pombe ambao mpk Leo nadhani ndio unaongoza tofauti IPO wp?
Maana mule ndani kwa mwengine anaona upuuzi ingawa kwa wengine ni burudani.
 
Lengo la WhatsApp group na uzi ulioufungua wa kuhusu pombe ambao mpk Leo nadhani ndio unaongoza tofauti IPO wp?
Maana mule ndani kwa mwengine anaona upuuzi ingawa kwa wengine ni burudani.
Naomba unisaidie kukujibu
 
Hata siku moja mwafrika hawez kukuweka kwenye group akakupa njia za kufanikiwa bila kukunyonya hela kidogo na wengi wao wanaogopa kutapeliwa bora tuendele na makundi ya bure yenye burudani kama ya baharia
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !
 
Kaa kundi moja na bakhresa, kama atakupa njia za mafanikia zaidi ya kukwambia shida alizo pitia
 
Mimi nilijiunga na group la kazini nikiamini litanisaidiaa kupataa taarifaa muhimu zaa kazi pekee..shidaa ni kwambaa taarifaa za kazi ni chachee..hvyo..watu wenginee unakutaa wanaanza kuposti ujinga wao mwingine wa ubahariaa...napendaa grup flan la mpira..ni strictly mpiraa..ukiletaa story nyinginee siasaa wanalutoaa...
 
Ilaa ni kweli wabongo tunapend kujikeep busy kwa mambo ya ovyo..magroup yameanzishwa kwa ajili ya taarifaa za harusi ama send off flan bt unakuta story za mabaharia ..wtf...tubadilikee kwa kweli
 
Karibu kwenye group la usalama tuko na yeriko nyerere anatema mashudu yake ya copy na ku paste utafikiri sio written book
Acha uongo... Siko kwenye kundi hilo

Screenshot_20191003-003335.png
 
Mimi sina group lolote na napenda iwe hivyo.

I mean it. Zero groups.

Ukiniunga najitoa immediately no questions asked.
 
Back
Top Bottom