Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Yunga Road hiyo pia inajulikana kama "death road" iko Bolivia ukitoka salama rudi tena
 
DRC hiyo kaka, pataitwa Kamanyola hapo
Basi itakuwa imefanana sana na hii barabara
eb445da74c6741d1d056f7224322862d.jpg
 
Asante! Mimi nilipata baada ya kuweka lami...
Aaah
Kama baada ya kuweka lami bas mbona pako furesh tuu kwa vile.

Ilikuwaga ni hatari enz hiyo hakuna lami na safari zilikuwa zina chukua time ndefu sanaa
 
Back
Top Bottom