Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
death+road+13.jpg
 
ningegeuka tu. sababu nikiwa naogopa kitu huwa napata ashki na kutetemeka
 
acha woga, mwenzio shibekijijini kalianzisha kutoka Bush mpk SA tena hana hata ndg wala mwenyeji, hakujali! wewe hapo barabara nzuri na hata ukidondoka wa kuokota maiti yako tupo, bado unambwela!
 
Unakomaa tu mkuu umalizie safar mbona ulikotoka ni mbali kuliko unapokwenda????
 
ningegeuka tu. sababu nikiwa naogopa kitu huwa napata ashki na kutetemeka
Siamin kama mtu makin kama ww utakosa mdoli!!!!
Hofu ikipandisha ashk unapak pemben unajikata wenge then safar inaendelea.... [emoji94]
 
Back
Top Bottom