Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Hapa sijui niendelee au nigeuze?

Wala usiangalie kushoto wala kulia we komaa macho mbele tu utatoka
 
Daah! Hapo ni kuvuta pumzi na kuendelea mana hakuna jinsi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daaah!!! Siendeshi gari hapo ata kwa billion dollars
 
death+road+13.jpg
Kama vile milima na mabonde ya Wilaya ya Lushoto.
Mmmh kitonga uko au
 
Kwani hiyo barabara ilikua ni lazima ipite hapo?
 
Usiogope ukubwa wa fish uliza bei,hayo macho tu yanakuogopesha but hapo unaendelea vizuri tuu ila weka mbali na viroba
 
Ivi ule mlima wa ile njia ya Iringa - Dodoma unaitwaje?? Yaani ule kama pacha wa kitonga.
Hahaha
Nyang'oro
Ule ulikuwa hatari kipindi hakuna lami

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom