Hapa Palinivutia Kujipiga Picha.......

Hapa Palinivutia Kujipiga Picha.......

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
mimi.jpg Jina la kwanza ktk hili bango lililopo pembeni yangu ndio lilinivutia zaidi.Hapa nilikuwa mji wa Lwodar nchini Kenya,safari iliyonichuku kilomita 507 toka Nairobi.Na huyo jamaa ambaye sura yake imezibwa kwa kiduara cheupe ndio mimi Kadoda11.Nilienda Lwodar kikazi.
 
ha ha ha ivuga bhana,kwetu ni tusi ila kwao ni jina la mji.
ila kijana nimekukubali..huko south sudan sijui ulifuata nini ila ndio hivyo mtu mzima haulizwi unaenda wapi ama unatoka wapi.
 
Kwikwikwi, kikwao labda maana yake ka almasi.
 
Unanikumbusha karibu ya mizani njia ya Moro - Dom panaitwa Mkundi, tena kuna bango kubwa tu, wajanja wakaitilia ufundi i wakaifanya u.
 
ila kijana nimekukubali..huko south sudan sijui ulifuata nini ila ndio hivyo mtu mzima haulizwi unaenda wapi ama unatoka wapi.
dah we acha tu kaka,nitakwambia siku tukikutana.
 
Kwa hizo nguo na hilo shati aise nakujua full na kuna siku tulikutana namanga ukiwa umevaa the same
 
Haya kaka ukitoka huko uende na Kunduz Iraq, ila picha ya huko ufiche miguu ili tukujue vyema
 
jamani hata mimi hapo ningepiga picha ningepaacha.
 
Enhee, tupe habari kamili za huko. Matusi ni kwenye bango hilo tu au sehemu nyingi ni mitusi tu?
 
@Mkuu Kadoda 11, wewe mwenyewe umeona haifai ukajificha, yanini basi kutuwekea hapa :A S embarassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom