View attachment 48790Jina la kwanza ktk hili bango lililopo pembeni yangu ndio lilinivutia zaidi.Hapa nilikuwa mji wa Lwodar nchini Kenya,safari iliyonichuku kilomita 507 toka Nairobi.Na huyo jamaa ambaye sura yake imezibwa kwa kiduara cheupe ndio mimi Kadoda11.Nilienda Lwodar kikazi.
....ofcourse that's what me and other wise JF members wanted you to do from the first moment you put your horn ass into this thread.you have done the right thing to step out.mind you,the more you comment into this thread the more you make it popular to other JF members.:cool2:Yani wewe ni bonge la kiazi.
Thread ni ya kwako.
Picha ni ya kwako umepiga na pozi full ungese.
Halafu bado unaweka picha ya huyo boya kwenye thread ambayo ina picha yako.
Huoni kwamba una cement the idea kwamba wewe si mzima?
Anyway, I am out of this.
kakuma sio tusi, ni sehemu ipo kenyasasa wewe jamaa badala ya kuficha tusi we umeficha sura.. dah !!
Tigoni sio tusi ila watu wamelifanya kua tusi.kakuma sio tusi, ni sehemu ipo kenya
pia kuna sehemu nyingine kama kimbimbi, mbooni, tigoni, nk
kenya ina majina ya ajabu
ha han ha.kaka usiumize mbavu zangu.kumbe wewe ni mpokot.nilikutana na wale jirani zenu mnao pigana nao kila mara kuhusiana na wizi wa mifugo(ng'ombe,mbuzi nk).wanaitwa waturkana.sitasahau samaki niliokuwa nakula toka ktk lake turkana-ni watamu sana.:wink2:Huo nao ni ufisadi, umetumwa kwenda kujifunza jinsi kilimo cha umwagiliaji wa miwa kinavyofanyika ili uje kuishauri wilaya unayofanyia kazi, wewe umeenda kuangalia majina ya maeneo. Kwanza unafahamu katika lugha yetu ya Pokot, hilo neno lina maana gani ? Sasa andaa ripoti ya safari, wasilisha kwa Bosi wako, usiasahu kuambatisha hiyo picha kama hupendi kazi yako.
Tigoni :A S 13:sio tusi ila watu wamelifanya kua tusi.
pal, hata mimi nimesema hata kakuma sio tusi ni eneo, ila wakenya wana majina ya ajabu sana ya maeneo yao, e.g. mbooni:A S 13::A S 13:
Pal, ashakum si matusi, Kakuma / Mbooni ni tusi za wazi kabisa katika lugha ya kiswahili. Huwezi kulinganisha na Tigoni ambayo imetungwa tu mtaani hapa majuzi. But I agree with you, Kakuma ni eneo pia. I have been there, working with the Catholic Church and the refugees from Sudan