Hapa Palinivutia Kujipiga Picha.......

Hapa Palinivutia Kujipiga Picha.......

sasa si ungepiga picha bango tu halafu ukaiweka hapa kama hautaki kufahamika?
 
Akha mazee kumbe wewe ndo unajiita Kadoda11!!Haya Mambo ya JF bwana mbona ofisini unaonekana mwenye hekima sana tofauti na ulivyo humu JF?Ngoja nianze kuwa nakuchora ndo maana the other day ulicomment kuhusu bosi nikahisi ni coincidence kumbe tupo wote.
 
interesting sign post inaonekana huo mji namna gani vile....he he he
 
90% of women don't like men in pink shirts.
Ironically 90% of men in pink shirts don't like women.
 
Akha mazee kumbe wewe ndo unajiita Kadoda11!!Haya Mambo ya JF bwana mbona ofisini unaonekana mwenye hekima sana tofauti na ulivyo humu JF?Ngoja nianze kuwa nakuchora ndo maana the other day ulicomment kuhusu bosi nikahisi ni coincidence kumbe tupo wote.
ha ha ha.ndio hivyo tena mkuu.haya ndio mambo ya JF.
 
Unapopita Kenya pita mji unaitwa Mbooni. Mbunge wao ni Membe wa Kenya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom