Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,858
Nani kakudanganya?UDSM hakuna medicine, nadhani unamaanisha Muhimbili au MUHAS, kwa division 2 ya point kumi naona una chance kubwa ya kwenda, kwani mwaka huu wamepandisha sana maksi za alama tofauti na ilivyokuwa