Hapa nimeshakosa UDSM, naweza kupata UDOM?

genious wa kijiji

Senior Member
May 1, 2014
173
250
Wakuu navutiwa kusoma medicine UDSM lakini nina wasiwasi mwembamba kuwa sitapata nafasi kutokana na ufaulu wa wastani: division two ya kumi PCB.

Hivi naweza kupata UDOM kwa medicine?? maana hiyo ndiyo the only chance niliyonayo kwani vya private sina uwezo mimi ni maskini sana. Nataka nikipata boom nifanye project zangu.
Asanteni
 

King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,945
2,000
Nani aliyekuletea "Revelation" kuwa UDSM umekosa?
"Hebu usijiwekee vikwazo katika Kutafuta Mafanikio"
 

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
500
wakuu navutiwa kusoma medicine udsm lakini nina wasiwasi mwembamba kuwa sitapata nafasi kutokana na ufaulu wa wastani: division two ya kumi PCB. hivi naweza kupata UDOM kwa medicine?? maana hiyo ndiyo the only chance niliyonayo kwani vya private sina uwezo mimi ni maskini sana. nataka nikipata boom nifanye projekt zangu.
asanteni
Division 2 points 10 UDSM unapata vizuri tu karibu sana mkuu the home of intelectuals mi niko hapa na two hiyo hiyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom