Wale wenzangu tunaotafuta angalau tuitwe kwenye interview tukutane hapa.

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
156
167
First, am dilighted to have jamiiforum kwasababu hii ni sehemu ambayo unao uwezo wa kuwakilisha mawazo yako.

Straightforward.., kama Uzi unavyojieleza...Mimi ni kijana nimamaliza masomo yangu (udsm) katika shahada ya kwanza kwenye masomo ya physics na chemistry.

Na nina ufaulu mzuri tu katika haya masomo(upper second) kwani hata o level nina division two, pia advanced level nilisoma PCB na nina merits tu nzuri.

Ajabu....nimetembeza barua ya maombi kwenye baadhi ya shule za private ila tangu mwaka Jana mpaka leo cjawahi itwa hata kwa interview.
Nashindwa elewa inamaana hakuna uhitaji wa walimu kwa haya masomo?...au yapo Ila watu wanapewa direct kwa kujuana.

Kwani kwa nondo nilizo nazo kichwani nikipata interview am sure siwezi pigwa chini labda wawe na sababu zao binafsi...

Nimefungua Uzi huu kutaka tukutane wale wote ambao tunapitia hali hii maana najua siko peke Angu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,.!!! Sasa kama wewe wa masomo hayo tuu hujaonja hata usahili,.hawa wa civics itakuwaje??au ndio mambo ya bahati kubahatisha....!!!
 
Mkuu,wewe unafundisha physics and Chemistry,tafuta Sasa wa Mathematics,Geography na masomo mengine ili muanzishe Tuition centre Wapendwa,hakuna aja ya kuleta uzi huku wakati Inawezekana.Nenda kwenye shule ambayo ina madarasa then omba upate darasa Anza kufundisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapelekaje barua za kuomba kaz bila wao kutangaza nafas za kazi? Au ulitaka waliopo wafukuzwe uajiriwe ww? Kjana ww komaa mtaan tuu, Mungu si athumani one day utapata kazi.
BTW nahisi nyie ndo wale watoto wanaoanzaga primary na 5yrs, unagraduate ukiwa na miaka 21, kazi kweli kweli.
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Umemaliza udsm katika ndaki ya CONAS mana kama ni muhitimu wa CONAS uwezi kosa ajira au uko shalo bro

Tuachane na hayo take your time utapata nafasi mimi binafsi nimemaliza udsm na kila kazi niliyo omba nyingi niliitwa katika interview nyingine nikawa nakimbia natizama maslahi thou sina ufaulu mkubwa sana ila bahati nayo inachangia

I hope zamu yako itafika take your time fanya shughuli nyingine uku ukiendelea kuomba
 
Umemaliza udsm katika ndaki ya CONAS mana kama ni muhitimu wa CONAS uwezi kosa ajira au uko shalo bro

Tuachane na hayo take your time utapata nafasi mimi binafsi nimemaliza udsm na kila kazi niliyo omba nyingi niliitwa katika interview nyingine nikawa nakimbia natizama maslahi thou sina ufaulu mkubwa sana ila bahati nayo inachangia

I hope zamu yako itafika take your time fanya shughuli nyingine uku ukiendelea kuomba
Nimegee hiyo bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa nadhani litakuwa kwenye barua ya maombi, wasifu na kujiongeza. Nimeitwa interview nyingi hata za vitu sijasomea kwa kujua tu kuandika barua ya kazi vizuri kuandaa wasifu mzuri na kujiongeza kwa kueleza nitachoweza na nitakachoongeza kama wakiniajiri .
Soma hii makala Njia nne za kupata ajira popote hata bila cheti

Sent using Jamii Forums mobile app
Asnte sana mkuu,nimeutafta huu uzi hakika nimepata madini ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom