Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Njaaa mbaya saanaa
Nimecheka kama mazuriUmekaa nyumbani kumbe mume wako yuko kwenye foleni ya kuchapwa kibao ili anunue LUKU.
Ni unyanyasaji au ni mchezo? Wawaache watu wafurahie maisha yao! Kufuata fuera maisha ya watu hovyo ndio maana tunaambiwa hatuna furaha. Kuna aliyeshikiwa panga hapo?Habari za pasaka wakuu,
kuna ugomvi mkubwa unaendelea kwenye bar moja hapa maeneo ya temeke, Ipo hivi, kuna jamaa amekuja hapa na gari moja kali sana ametukuta sisi tunakunywa na watu wengine mbalimbali, akatangaza kuwa mtu yeyote anayetaka kunywa bia au kupewa 10,000/= anampiga kibao kimoja halafu anaondoka na 10,000/= lakini atakayetaka kuendelea anapigwa kibao kingine anapewa hela yake, basi kwenye meza yetu tukajipanga kama watu watano hivi na baadhi ya watu kutoka meza nyingine, jamaa akaanza na mtu wa kwanza, alimzabua kibao hicho mpaka chini kwenye matope, akampa hela yake, mimi nilipoona kile kibao cha kwanza nikatoka kwenye foleni nikarudi kwenye meza yangu, sasa cha kushangaza, badala ya kuondoka ndiyo wakaongezeka kwenye foleni hata yule mtu wa kwanza naye akarudi kwenye foleni, jamaa amewachapa watu vibao mpaka akachoka, watu ndiyo wakawa wanazidi kuongezeka, akasema amechoka mpaka siku nyingine, watu kama 40 hivi walikuwa kwenye foleni wakamwambia tunakupa nusu saa upumzike halafu uendelee kutupiga vibao, jamaa akagoma, wakamwambia basi tupe hela yetu maana umetukalisha kwenye foleni halafu usitupe kitu hatukubali, baada ya mabishano marefu jamaa akasema basi nitawapa 5, 000/= kila mmoja bila kuwapiga vibao, wakati huo wanabishana foleni ikawa inaongezeka, baadhi wakakubali kulipwa hiyo elfu 5,000/= kila mmoja wakabaki watu kama 30 hivi hao wakakataa, wao wanataka awapige vibao na kuwapa hela zao, bahati nzuri kuna jamaa wawili wamevaa kiraia wametokea wanasema wao ni polisi na wanataka kumchukua huyu jamaa waende naye kituo cha cha polisi, wananchi wamegoma wanataka kuchapwa vibao au wapewe hela zao, wale jamaa wanao sema wao ni polisi na wamevaa kiraia wanasema huu ni unyanyasaji wa raia, sasa kuna ubishi mkubwa, raia wanasema anawasaidia, hawa jamaa polisi kanzu wanasema ni unyanyasaji, mgogoro bado unaendelea nitawapa feedback baadaye
Weka picha mkuuHabari za pasaka wakuu,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi sikuelewi ujueeeeeUmekaa nyumbani kumbe mume wako yuko kwenye foleni ya kuchapwa kibao ili anunue LUKU.
Ndiyo maana hampendi tujue mnakwenda wapi, kumbe huko kuna mengi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi sikuelewi ujueeeee
Hahahahaaa unakumbuka jana AM ulinambia kitu gani?Ndiyo maana hampendi tujue mnakwenda wapi, kumbe huko kuna mengi.
Aibu jamani angeweka na kapic ubora wa wanaume wa dar unazidi kudidimia kabisaUmekaa nyumbani kumbe mume wako yuko kwenye foleni ya kuchapwa kibao ili anunue LUKU.