Hapa nilipo kuna ugomvi mkubwa unaendelea leo pasaka

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Habari za pasaka wakuu,

Kuna ugomvi mkubwa unaendelea kwenye bar moja hapa maeneo ya temeke, Ipo hivi, kuna jamaa amekuja hapa na gari moja kali sana ametukuta sisi tunakunywa na watu wengine mbalimbali, akatangaza kuwa mtu yeyote anayetaka kunywa bia au kupewa 10,000/= anampiga kibao kimoja halafu anaondoka na 10,000/= lakini atakayetaka kuendelea anapigwa kibao kingine anapewa hela yake, basi kwenye meza yetu tukajipanga kama watu watano hivi na baadhi ya watu kutoka meza nyingine, jamaa akaanza na mtu wa kwanza, alimzabua kibao hicho mpaka chini kwenye matope, akampa hela yake, mimi nilipoona kile kibao cha kwanza nikatoka kwenye foleni nikarudi kwenye meza yangu,

Sasa cha kushangaza, badala ya kuondoka ndiyo wakaongezeka kwenye foleni hata yule mtu wa kwanza naye akarudi kwenye foleni, jamaa amewachapa watu vibao mpaka akachoka, watu ndiyo wakawa wanazidi kuongezeka, akasema amechoka mpaka siku nyingine, watu kama 40 hivi walikuwa kwenye foleni wakamwambia tunakupa nusu saa upumzike halafu uendelee kutupiga vibao, jamaa akagoma, wakamwambia basi tupe hela yetu maana umetukalisha kwenye foleni halafu usitupe kitu hatukubali, baada ya mabishano marefu jamaa akasema basi nitawapa 5, 000/= kila mmoja bila kuwapiga vibao, wakati huo wanabishana foleni ikawa inaongezeka,

Baadhi wakakubali kulipwa hiyo elfu 5,000/= kila mmoja wakabaki watu kama 30 hivi hao wakakataa, wao wanataka awapige vibao na kuwapa hela zao, bahati nzuri kuna jamaa wawili wamevaa kiraia wametokea wanasema wao ni polisi na wanataka kumchukua huyu jamaa waende naye kituo cha cha polisi, wananchi wamegoma wanataka kuchapwa vibao au wapewe hela zao, wale jamaa wanao sema wao ni polisi na wamevaa kiraia wanasema huu ni unyanyasaji wa raia, sasa kuna ubishi mkubwa, raia wanasema anawasaidia,

hawa jamaa polisi kanzu wanasema ni unyanyasaji,

Mgogoro bado unaendelea nitawapa feedback baadaye
 
Habari za pasaka wakuu,
kuna ugomvi mkubwa unaendelea kwenye bar moja hapa maeneo ya temeke, Ipo hivi, kuna jamaa amekuja hapa na gari moja kali sana ametukuta sisi tunakunywa na watu wengine mbalimbali, akatangaza kuwa mtu yeyote anayetaka kunywa bia au kupewa 10,000/= anampiga kibao kimoja halafu anaondoka na 10,000/= lakini atakayetaka kuendelea anapigwa kibao kingine anapewa hela yake, basi kwenye meza yetu tukajipanga kama watu watano hivi na baadhi ya watu kutoka meza nyingine, jamaa akaanza na mtu wa kwanza, alimzabua kibao hicho mpaka chini kwenye matope, akampa hela yake, mimi nilipoona kile kibao cha kwanza nikatoka kwenye foleni nikarudi kwenye meza yangu, sasa cha kushangaza, badala ya kuondoka ndiyo wakaongezeka kwenye foleni hata yule mtu wa kwanza naye akarudi kwenye foleni, jamaa amewachapa watu vibao mpaka akachoka, watu ndiyo wakawa wanazidi kuongezeka, akasema amechoka mpaka siku nyingine, watu kama 40 hivi walikuwa kwenye foleni wakamwambia tunakupa nusu saa upumzike halafu uendelee kutupiga vibao, jamaa akagoma, wakamwambia basi tupe hela yetu maana umetukalisha kwenye foleni halafu usitupe kitu hatukubali, baada ya mabishano marefu jamaa akasema basi nitawapa 5, 000/= kila mmoja bila kuwapiga vibao, wakati huo wanabishana foleni ikawa inaongezeka, baadhi wakakubali kulipwa hiyo elfu 5,000/= kila mmoja wakabaki watu kama 30 hivi hao wakakataa, wao wanataka awapige vibao na kuwapa hela zao, bahati nzuri kuna jamaa wawili wamevaa kiraia wametokea wanasema wao ni polisi na wanataka kumchukua huyu jamaa waende naye kituo cha cha polisi, wananchi wamegoma wanataka kuchapwa vibao au wapewe hela zao, wale jamaa wanao sema wao ni polisi na wamevaa kiraia wanasema huu ni unyanyasaji wa raia, sasa kuna ubishi mkubwa, raia wanasema anawasaidia, hawa jamaa polisi kanzu wanasema ni unyanyasaji, mgogoro bado unaendelea nitawapa feedback baadaye
Du
 
Hiki kisa kinanikumbusha likizo yangu ya kwanza bongo kutoka mtoni yani nilikuwa na jeuri ya pesa balaa yani kila niliyekutana naye ama kupishana naye ni kumzaba mfululizo wa makofi maksud siyo mtoto kijana mzee mwanamke ama Mwanaume. Na kila kofi nalipa laki

barafuyamoto
 
Back
Top Bottom