Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
nyie wasomi mna shida gan ? .. hivi unatafuta kaz kisha unaambiwa ulipie zaidi ya milion 5 kaz gan hiyo kama si utapeli huo ?. au mm ndo sijui ? unalipiaje kaz ?.