Hapa nifanyaje wakuu

Tayari aumeshatafunwa mdogo wangu, pesa yako watu wameshakunywa bia na Nyama choma na kudinyia mademu
 
Maaamae sukuma mtu ndani hatutaki matapeli
 
Hao ni matapeli kama @immigration Tanzania
 
Una uhakika na jamaa yako naye alilipia hizo gharama
 
Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
Mkuu umetapeliwa.. wewe na mwenzio wote 9.. iko hivi nchi za Ulaya kama vile Canada swedeni, Finland, uholazi, span,Denmark na nchi moja nimeisahau Jina.. kazi katika hizo nchi hazina agents wa kutafuta watu wa kwenda kwao kufanya kazi..


Nini kinatokea? Wanazo websites zao kupitia makampuni na balozi husika ambazo hutangaza kazi kwenye official web ili kila mtu mwenye sifa aombe. na kuna kazi huwa zinatolewa purposely kwa nchi rengwa.. bahati mbaya sana watu matapeli wametumia mwanya huo kuwapiga watu wengine..

Dalili kubwa sana kama hyo kazi inakwambia lipia sijui ghalama stuka mapema unataka kupigwa hapo.. malipo yoyote huwa yanafanyika baada ya approve letter kupitia ubalozi husika au wao wenyewe waliotoa kazi.

Kwa hyo mkuu pole. usd 2500x9= 22500usd x tsh26000=? Watu wamejenga nyumba na usafri..

Mjini shule, hela haitafuwi inategwa


Nnao ushahidi mwingi wa watu kupigwa kwa aina hyooo pole mkuu usife moyo ndo ukubwa huo..
 
Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
Mkuu hii umepigwa amini usiamini.
Karibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Kwa jinsi wanavyo chezea dola za watu mfano wako hamtawashinda kesi kirahisi.
Kwanza like kitendo cha kutowapeleka CANADA na kuwabadilishia destination ilikuwa BREACH OF CONTRACT.
Ungedai pesa yako wakati huo huo.

Nakufumbua akili uone wapi ilikuwa inalia alert alarm hukuzingatia.
Kukuficha jina na contacts za kampuni lengo usijaribu kutafuta taarifa za uthibitisho kwenye hiyo Kampuni utajua unatapeliwa.
 
Ili swala lako inabidi uanzie kwa mwenyekiti wa mtaa afu uende kwa mlinzi wa aman kabla ujaenda kwenye vyombo vya kupikia
 
Inauma kinoma
 
Ila niki komaa pesa si inarudi
 
Next time waambie hiyo $2500 wakukate kwenye mshahara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…