Hapa ni wapi?

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Hili jengo ni la nini na lipo wapi?
 

Attachments

  • 431px-Bbc_broadcasting_house_front.jpg
    431px-Bbc_broadcasting_house_front.jpg
    47 KB · Views: 131


teh teh teh mumekalilije miji ya watu kuliko kwenu teh teh wabongo bwana

Nimeitoa google image/google map.
Ushongo hatuna hata hizo post codes,
Nitakariri nini sasa? weka online kwanza.
 


teh teh teh mumekalilije miji ya watu kuliko kwenu teh teh wabongo bwana



Ukijua kule credit, yaani wewe ni wa mtoni. hivyo ni bora utaje nisikilize mwenzio navyosema "Hilo ni jengo la BBC walilohamia muda sasa kule london sijui kwa nini hawahami hapa'
 
wewe umeuliza swali ukaweka na jibu hapo hapo sasa ulitegemea nani ashindwe.
 
Huko ulikolitoa na kulileta kwani hawakueleza ni jengo la nini. Au umeleta kama chemsha bongo ili tupatie na kukosea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom