Jengo linauzwa 15M tu

Jengo linauzwa 15M tu

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,524
Reaction score
2,647
Jengo hili linauzwa, lipo Vikindu, Mkuranga, lina vyumba vitatu na Sebule pamoja na hiyo nyumba pemben ina chumba na sebule kubwa katika eneo zuri na tulivu.
📍 Mahali: Vikindu, Mkuranga
📐 Ukubwa wa eneo: 49 × 50
📄 Lina hati
💰 Bei: TSh 15M tu haina udalali linauzwa na mwenye jengo yeye na mke wake hivyo haliba mgogoro pia

Kama wewe ni mtu unapenda kuishi sehemu tulivu, isiyo na hekaheka nyingi, hapa panakufaa sana.
📞 Mawasiliano: +255797779091
WhatsApp au simu ya kawaida.
Karibu kwa maelezo zaidi na utaratibu wa kufuatilia eneo.

Picha zinagoma ku attach najaribu kuweka kwenye coment
 
IMG-20261122-WA0025.jpg
 
Jengo hili linauzwa, lipo Vikindu, Mkuranga, lina vyumba vitatu na Sebule kubwa katika eneo zuri na tulivu.
📍 Mahali: Vikindu, Mkuranga
📐 Ukubwa wa eneo: 49 × 50
📄 Lina hati
💰 Bei: TSh 15M tu haina udalali linauzwa na mwenye jengo yeye na mke wake hivyo haliba mgogoro pia

Kama wewe ni mtu unapenda kuishi sehemu tulivu, isiyo na hekaheka nyingi, hapa panakufaa sana.
📞 Mawasiliano: +255797779091
WhatsApp au simu ya kawaida.
Karibu kwa maelezo zaidi na utaratibu wa kufuatilia eneo.

Picha zinagoma ku attach najaribu kuweka kwenye coment
Hivyo vipimo ni mita au futi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom