Hapa ni kwa wanawake tu

Hapa ni kwa wanawake tu

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Jamani naombeni msaada wenu.

Hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume.

Nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.

kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.

Naombeni msaada wenu wanawake.
 
Mkuu yule mama muuza maandazi anadai hela yake, na anasema uache kukopakopa vitafunio kwake kwani umezidi na hela umlipi.
 
Jamani naombeni msaada wenu,,!

hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume.!,

nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.

kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.

naombeni msaada wenu wanawake.!!

My dear inategemea na mwanamke . Kwa upande wangu navutiwa na Upendo, Kumcha Mungu, Loyal, Commitment . Kwa sasa ni hayo tuu. Hebu niwaachie na mwenzangu waseme pia. By the way good topic mpendwa , I like it . Thanks.
 
Ndgu yangu acha jokes bhana huku kwetu shinyanga hakuna cha madazi katika familia za wafungaji.

nikusubiri ungali wa asubuhi wa mtu anayeenda kuchuga ng'ombe
kwa lugha ya kitalaam tunauita

"bungali wa ndimi'"
 
Kama ni ivo ujijue huna tabia nzuri, wanawake tunapenda mtu mwenye tabia nzuri...
-Tabia za majungu hatupendi
-Kuulizwa maswali ya kijinga hatupendi
-Majigambo yasiyo na mbele wala nyuma hatupendi
 
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!
 
Hapo ndio haswaaaaa anapaswa ajirekebishe.
 
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!

Ahaha kama yule jamaa wa movie ya 3 ------. . Tehhhh price tag
 
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!

Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kabla sijaenda mbali nimeshaona tatizo linalokufanya usipendwe....inawezekana unalidharau lakini si dogo...kifupi wewe dogo UNA MAJIVUNO THEN UNA DHARAU. Rudia kusoma post yako mstari kwa mstari. Wanawake wengi hawapendi mtu mwenye dharau
 
My dear inategemea na mwanamke . Kwa upande wangu navutiwa na Upendo, Kumcha Mungu, Loyal, Commitment . Kwa sasa ni hayo tuu. Hebu niwaachie na mwenzangu waseme pia. By the way good topic mpendwa , I like it . Thanks.

ukiwa na umri gani uliacha kuangalia physical appearance na walet.....
 
Jamani naombeni msaada wenu,,!

hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume.!,

nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.

kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.

naombeni msaada wenu wanawake.!!

we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!
 
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.

mkuu nakuomba ujitahidi kuandika lugha yetu ya Taifa kwa ufasaha
 
Last edited by a moderator:
Kikubwa watu wanaangalia pochi bana sura tutavumiliana tu mana hata mbuzi anayo uje na usharabaro wako huna hela mhhjjh
 
we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!

Kinachokufanya ukasilike ni nini? kama siyo ukichaa unaokusumbua, ukichaa wako ndiyo unakufanya ujenge chuku na mimi!!! kila mtu ana uhuru wa kuandika anavyojisikia kwa uelewi nilichokiandika bora usichangie chochote.

kwanza nashukuru sana kwa tusi lako

mungu akubariki sana pamoja na ukichaa wako. emen
 
we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!

Endelea sana kunifuatilia.,,,!! kuna zawadi yako taaam nimekuandalia

katotolevese,,,!
 
Back
Top Bottom