Hapa ni kwa wanawake tu

Hapa ni kwa wanawake tu

majifuno= majivuno
kelo=kero
nijichukuze=nijichunguze

Kama umesoma ukaelewa namaanisha nini? na niaongelea nini, kinachokusumbua ni kitu gan? kama siyo kutafuta sifa za kijinga!!!
 
Magomeni mapipa, kama unatoka kariakoo ni mkono wa kuume, kuna gorofa rangi ya kijani juu kuna minala, hapo ndiyo barabara kuu, yakwenda nyumbani.

Poa poa bro aandaa maakuli will b there on time ni jirani yangu ati!! Thanks!
 
Kama umesoma ukaelewa namaanisha nini? na niaongelea nini, kinachokusumbua ni kitu gan? kama siyo kutafuta sifa za kijinga!!!

wewe jamani si nilikuona unamsihi mtu asikutukane???? ha ha ha ha.... wanawake wengi tunapenda wanaume wanaokubali kukosolewa.. ukikidhi hicho kigezo tayari mwanamke mzuri unamiliki wewe.
 
mmmmh kama ni hivyo basi siwezi, kabsa, mimi napenda niwe kama driver.
 
Ha ha ha ha......duuuuhh.... pole sana ila mbona nasikia wanaume wa shinyanga ni watu wazuri sana.... ukiwa hivyo naona kama utawawakilisha ndivyosivyo.. ukikataa kukosolewa inamaana we ni dictator.
 
Haswa magomeni IPI, kwa maana Mimi nimetokea huko huko ndio wetu. Kuna mapipa,mikumi, Morocco hotel nakadhalika . Huwezu jua labda sisi ni ndugu Lol. Aaaaaaaahhhh Aaaaa.

Home magomeni makuti hii njia inayoshuka tandale
yaani ukifika kuanzia moroko ukiniulizia kwa jina langu halisi hunikosi
nikitaka kuwa mwenyekiti wa mtaa napata kabisa ila mambo yangu mengi tu
 
Wow yaani wewe ndio uko close kabisa na kwetu . Mimi ni hapo hapo karibu na kanisani! Kabisa la Catholic , wow definetly aandaa maanjumati Lol Dada or Mdogo wako Niko njiani , Asante !
 
We jamaa una inferiority complex ya kukosa elimu. Madem wazuri wanataka mwanaume anayeongea sense, kama unavyoandikaga hapa ndivyo unavyoongeaga, nakuhakikishia huwezi kupata demu mkali.

Jifunze kuongea kisomi, kuandika kisomi, kuchanganua mambo mbali mbali kiusomi, hata kama mtu umemzidi kitu hutakiwi kujionyesha kiuwazi.

Usipende kitaka kuwaonyesha watu vitu unavyowazidi kujustify kwamba hata kama hujasoma ila unawazidi, wanawake hawapendi hii.
 
Home magomeni makuti hii njia inayoshuka tandale
yaani ukifika kuanzia moroko ukiniulizia kwa jina langu halisi hunikosi
nikitaka kuwa mwenyekiti wa mtaa napata kabisa ila mambo yangu mengi tu

Bwana MO11 hiyo mitaa ni yangu .

kanisani nakuja hapo hapo kila j'pili,. maana kanisa langu liko mbali naogopa kupoteza nauli isiyokuwa na sababu.
 
Last edited by a moderator:
Mim niliangalia ana plan gan na maisha sikuangalia u handsome wake wala body lake. Niliangalia ustahmilivu wake tabia yake mengine yalikuja wakat tayar nishampata kipenzi
 
We jamaa una inferiority complex ya kukosa elimu. Madem wazuri wanataka mwanaume anayeongea sense, kama unavyoandikaga hapa ndivyo unavyoongeaga, nakuhakikishia huwezi kupata demu mkali.

Jifunze kuongea kisomi, kuandika kisomi, kuchanganua mambo mbali mbali kiusomi, hata kama mtu umemzidi kitu hutakiwi kujionyesha kiuwazi.

Usipende kitaka kuwaonyesha watu vitu unavyowazidi kujustify kwamba hata kama hujasoma ila unawazidi, wanawake hawapendi hii.

wewe ni she or he hehehehe (jokes)

inferiority complex yangu ni kukosa formal education, hehehe, siyo kweli how many tanzanian ambao hawajafika hata darasa la kwanza, kuna watu wangapi tz, ambao hawajui hata "the," hata kiswahili kuongea kwao ni shida.

mm nina matatizo gani ya kiakili hadi nijenge inferiority complex becouse sijapata furusa ya kufika chuoni. my thinking capacity ni zaidi ya mtu aliyefika chuo, nina elimu yakutosha zaidi ya unavyofikiri
 
Yupi huyo hem nikumbushe

Hii ni bonge la movie ya kihindi ukiangalia hutojuta kupoteza muda wako ya amir khan
kuna jamaa a.k.a ndio price tag yaani kitu chake usipoteze usiharibu
mara ya mwisho ilikuwa ipo top ten ya all time movies ni nzuri hasa huwa naiangalia kila napopata nafasi inahusu maisha ya chuo na great thinker mmoja hivi ha ha ha ha ha
ngoja niiangalie na leo
 
Ha ha ha ha......duuuuhh.... pole sana ila mbona nasikia wanaume wa shinyanga ni watu wazuri sana.... ukiwa hivyo naona kama utawawakilisha ndivyosivyo.. ukikataa kukosolewa inamaana we ni dictator.

Ndiyo maana niko hapa ili kupata infor na kujifunza makosa ambayo huwanga nayafanya!!!
 
Back
Top Bottom