Hapa ni kwa wanawake tu

Hapa ni kwa wanawake tu

Ndgu yangu acha jokes bhana huku kwetu shinyanga hakuna cha madazi katika familia za wafungaji.

nikusubiri ungali wa asubuhi wa mtu anayeenda kuchuga ng'ombe
kwa lugha ya kitalaam tunauita

"bungali wa ndimi'"

Samahani mkuu anasema ulikopa ughali "bungali wa ndimi"ila hadi sasa hujamlipa eti anasema unajidai we mjanja, mkuu we kamlipe tu hela yake.
 
Unajua nimekufananisha na Shy land labda umebadili jina ila mwananyamala hawajambo !

Shy land yamewezekana ni ndgu yangu mkuu,, subiri ni pm yawezekana tukajuana kwa namna moja au nyingine,,! mwananyamala mkuu nishahama long time sana!! kwa sasa niko hapa magomeni tunakula bata za dar karibu sana
 
Last edited by a moderator:

magomeni ipi mimi mwenyewe nipo magomeni
 
Last edited by a moderator:
magomeni ipi mimi mwenyewe nipo magomeni

Haswa magomeni IPI, kwa maana Mimi nimetokea huko huko ndio wetu. Kuna mapipa,mikumi, Morocco hotel nakadhalika . Huwezu jua labda sisi ni ndugu Lol. Aaaaaaaahhhh Aaaaa.
 
magomeni ipi mimi mwenyewe nipo magomeni

Magomeni mapipa, kama unatoka kariakoo ni mkono wa kuume, kuna gorofa rangi ya kijani juu kuna minala, hapo ndiyo barabara kuu, yakwenda nyumbani.
 
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!

Yaani,,,asante kwa kuniwakilisha mkuu, yaani ukiona mtu anapenda kutoa kasoro za watu wengine na kujinadi asset zake alizo nazo hata muda tu wa kumsikiliza sina.. na watu kama hawa siku zote huwa hawajiamiani. wanawake wengi hawapendi type hizi.
 
Magomeni mapipa, kama unatoka kariakoo ni mkono wa kuume, kuna gorofa rangi ya kijani juu kuna minala, hapo ndiyo barabara kuu, yakwenda nyumbani.

mtaa wa sunna au dosi ?
 
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.

Alafu jamani mbona unakosea hivyo kuandika ??? au unafanya makusudi???
 
Last edited by a moderator:
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.

majifuno= majivuno
kelo=kero
nijichukuze=nijichunguze
 
Last edited by a moderator:
we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!

ha ha ha ha......uwiiiii
 
Back
Top Bottom