Kama ni ivo ujijue huna tabia nzuri, wanawake tunapenda mtu mwenye tabia nzuri...
-Tabia za majungu hatupendi
-Kuulizwa maswali ya kijinga hatupendi
-Majigambo yasiyo na mbele wala nyuma hatupendi
We jamaa una inferiority complex ya kukosa elimu. Madem wazuri wanataka mwanaume anayeongea sense, kama unavyoandikaga hapa ndivyo unavyoongeaga, nakuhakikishia huwezi kupata demu mkali.
Jifunze kuongea kisomi, kuandika kisomi, kuchanganua mambo mbali mbali kiusomi, hata kama mtu umemzidi kitu hutakiwi kujionyesha kiuwazi.
.
Jamani naombeni msaada
wenu,,!
hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao
unapelekea kumpenda wanaume.!,
nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama
bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya
kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.
kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini
sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.
naombeni msaada wenu wanawake.!!
Kinachokufanya ukasilike ni nini? kama siyo ukichaa unaokusumbua, ukichaa wako ndiyo unakufanya ujenge chuku na mimi!!! kila mtu ana uhuru wa kuandika anavyojisikia kwa uelewi nilichokiandika bora usichangie chochote.
kwanza nashukuru sana kwa tusi lako
mungu akubariki sana pamoja na ukichaa wako. emen
wewe ni she or he hehehehe (jokes)
inferiority complex yangu ni kukosa formal education, hehehe, siyo kweli how many tanzanian ambao hawajafika hata darasa la kwanza, kuna watu wangapi tz, ambao hawajui hata "the," hata kiswahili kuongea kwao ni shida.
mm nina matatizo gani ya kiakili hadi nijenge inferiority complex becouse sijapata furusa ya kufika chuoni. my thinking capacity ni zaidi ya mtu aliyefika chuo, nina elimu yakutosha zaidi ya unavyofikiri
Kujiamini, kujikubali na kulidhika, ndiyo vitu ambavyo humufanya mtu aishi maisha ya aman.
Which type of language inayomtofautisha uneductedand educted man, kama ni kiswaenglish big no!!
Tumia kiswahili tu
Lakini umeelewa au hujaelewa ? Kama umeelewa , chokochoko za nini? Asante
Kujiamini, kujikubali na kulidhika, ndiyo vitu ambavyo humufanya mtu aishi maisha ya aman.
Unaharibu lugha
Jamani naombeni msaada wenu,,!
nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri...