Sweetcandle
Member
- Oct 24, 2014
- 35
- 15
Napita
Itakuchukuwa muda kuelewa nini maana ya vitu vya maana, jinsi ya kuwakilisha maada unayotaka kuiwakilisha kwa maneno ambayo hayatamsababisha msilizaji kujisikia kuwa kasemwa vibaya (kawa offended).
Na sio lazima uchanganye kiingereza kuonekana msomi kaka.
Madem wakali utaendelea kuwaita shemeji mpaka utakapojitambua!
Hii ni bonge la movie ya kihindi ukiangalia hutojuta kupoteza muda wako ya amir khan
kuna jamaa a.k.a ndio price tag yaani kitu chake usipoteze usiharibu
mara ya mwisho ilikuwa ipo top ten ya all time movies ni nzuri hasa huwa naiangalia kila napopata nafasi inahusu maisha ya chuo na great thinker mmoja hivi ha ha ha ha ha
ngoja niiangalie na leo
hii muvi mi nimeangalia ila huyo price tag mbona hata simkumbuki?
Yule jamaa aliyetaka kumuoa Kareena Kapor hadi suti yake itaharibiwa atachelewa anaibiwa mke siku ya harusi
hii muvi mi nimeangalia ila huyo price tag mbona hata simkumbuki?
Sema hiyo "price tag"ndio iliyokutatiza my wii acha kumung'unya maneno......lol
Ni kweli wii hilo sio siri ndio maana sijaona aibu kuuliza
Which type of language inayomtofautisha uneducted and educted man, kama ni kiswaenglish big no!!
We dogo akili yako imeganda kabisa asee.. Pamoja na kurekebishwa na kukosolewa mara kwa mara bado unaandika utumbo tu.. Kwani kujikakamua kuandika kiingereza ndo utaonekana umefika sekondari??????? Acha ujinga bana.. Tena ningekujua huku Shinyanga upo sehemu gani lazima ningekutafuta..
Unataka kujua naishi shinyanga gan? unitafute, hehehe, unifanyaje? hilo lisukupe shaka. nitakuambia mda siyo mrefu.