Lol, Mshkaiji kwenye pikipiki udenda unamtoka.
duh na walivyonona.
Jikaze tu..........mimi najitahidi kuwa na positive view ili nisikitoe kilichopo tumboni...........otherwise nina hali mbaya hapa.Jamani najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kufungua huu uzi!
Hapo ni RAU,Moshi mooooja,Unapata hadi kisusio cha mende