Hapa ni China au Iringa?

Duh!mm ni nhehe,kwetu iringa bt sijawahi shuhudia hii k2,au ni iringa ya wapi wanakula mbwa?
 
Menu. Hmmm...do you get the banana split or the fried snake? - (ya 5 kutoka juu)

IMG_0922.jpg
fried snake?!!!!!
 
Mkuu Dotworld.

Ni kweli usipoambiwa unaweza ukagonga ila ukiambiwa baada ya kumaliza mloo hakika lazima utapike ha ha ha ha.


.
Mkuu Ngongo umekoma nini sasa hapo? ... fafanua basi kidogo ... hivi ukiletewa chakula kama hicho na hujaambiwa kuwa ni fried snake with chips si unaweza ukala ukijua kuwa ni samaki?
 
hicho kitu cha mishikaki ya nnge nasikia ni dawa yaani ukila
hiyo magonjwa ya ajabu ajabu hayakusogelei kabisa inakua
ni ndoto tu kwako ...............
 
Kweli tembea uone, china hata nikipewa na hela juu siendi mambo gani haya yakulishana mbwa na nyoka.
 
cooking_insects_scorpionsoup.jpg


beijing_snacksonsticks_mice.jpg


cooking_insects2.jpg


People in some parts of the world consider insects a very tasty delicacy. If you live in Beijing or Bangkok, for example, you might fancy a taste of crickets.

Or maybe you would prefer baby nestling sparrows, mice, snakes, or maybe a bowl of scrumptious scorpion soup?

 
Duh.. Supu ya hiyo kitu nafikiri itakuwa poa sana! Kama ni Iringa nifahamishe ili nikipita Iringa niigonge hiyo supu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom