Hapa ndio Mwenge

Huo msongamano ni mdogo sometimes ukipita hapo unaweza sema any time ajali inatokea
Huwa panabanana hapo
 
Si kila mwaka civil engineers wanagraduate hapo mlimani?Sasa huwa wanapotelea wapi maana hizi ndio kazi zao kudesign ma fly overs.
 
Back
Top Bottom