stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,912
- 15,808
kwan kuna nchi haidaiwiNa nyinyi muishi na familia zenu na hela za mikopo ya serikali. Baadae mnatusomea deni la serikali ni trilion kadhaa
kwan kuna nchi haidaiwiNa nyinyi muishi na familia zenu na hela za mikopo ya serikali. Baadae mnatusomea deni la serikali ni trilion kadhaa
umekiona chama kipya cha upinzan?Who is the assassin
View attachment 3360575
Ulo sahihi mkuu wana jaribu kubishana na mipango ya Mungu na muda umewataa wangejua kuwa mambo yanaanzaga hivi hivi. Vijana washaitika inahitajika tu sababu ndogo au tuseme wawakanyaje watu bahati mbaya vijana wajilipue makusudi ili hili jambo liwe mtaani rasmiMwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
no rifom no elekishen na hamshiriki uchaguzi hehehe kuna mda mifala na njaa vikikutana kama mazombieCheki takataka hii, mlidhani watanzania wataendelea kuwa manyumbu miaka yote!
hawawezi, ila wanatamani kuzuia uchaguzi, pia kuwe na vurugu (kukinukisha)kwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣
No reform no electionMuktadha wa mada ni swali nani kaingia kwenye 18 za mwenzake.... Naona nawe umeshaingia kwenye mfumo maama umeshindwa kuwaza tofauti😀
Ulo sahihi mkuu wana jaribu kubishana na mipango ya Mungu na muda umewataa wangejua kuwa mambo yanaanzaga hivi hivi. Vijana washaitika inahitajika tu sababu ndogo au tuseme wawakanyaje watu bahati mbaya vijana wajilipue makusudi ili hili jambo liwe mtaani rasmi
ata ivo jeshi nalo linatakiwa kufanya usafi sku hiohawawezi, ila wanatamani kuzuia uchaguzi, pia kuwe na vurugu (kukinukisha)
Watu kama hawa huko ccm hawapendwi
No reforms, No election
Tunataka mabadiliko haki kwa wotekwan kuna nchi haidaiwi
mabadiliko ya haki ndo mnayapata nje ya uchaguzi? ccm ikishinda na hankuwa nsan ya uchaguziTunataka mabadiliko haki kwa wote
Kweli nyie mna roho mbaya sana hata kanisa hamliogopi?
Katika biblia kuna mstari unasema: Shetani alikuwa na taamaa sana. Siku akatoka Mungu akamuuliza umetoka wapi? Shetani akamjibu nimetoka duniani kutafuta marafiki. Mungu akamuuliza umepata ? Shetani akasema mbona wapo wengi.
Tabia za shetani kila mtu mwenye akili timamu anazijua.
Uwongo
Unafiki
Wizi
Uzinzi
Ulafi
Ukatili
Wivu
Kuuwa
Kusengenya n.k
CCM vipi wanayolalamikia watanzania na majirani hapo yapo.
No reforms No Election.
Wewe uanaona unayafanya ni sahihi. Lakini nikiangalia ni matendo ambayo yanayofana na sheria za ushetani.mabadiliko ya haki ndo mnayapata nje ya uchaguzi? ccm ikishinda na hankuwa nsan ya uchaguzi
No reform no electionMwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Unafikili yote haya usemayo yanaweza kuzuia kusudio la Mungu ,sio kaeni mkao sawa , siasa za nchi hii zimeisha badilika sana hapo ccm mnahitaji brain kweli kweli angalau kujaribu kucheza mdundo huu,cha ajab mnamuongezea tu mataizo jamaa kama juzi mpaka mahakama imebidi imuonye
Ni kweli CCM imevamiwa kabisa..ukiona wasanii vijana wanaojiunga Kwa Kasi CCM wanakuja kutafuta maslai uko, na Wala siyo kuja kuisaidia CCM hakuna anayejiunga CCM Kwa manufaa ya Chama, watu kibao wanakuja km mafisi tena waogope Sana..km ukoma.