Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Mabadiliko hayawezi kuzuilika muda umeshafika serikali ikubali tu kuwasikiliza wananchi wanataka nini
 
Ni kweli CCM imevamiwa kabisa..ukiona wasanii vijana wanaojiunga Kwa Kasi CCM wanakuja kutafuta maslai uko, na Wala siyo kuja kuisaidia CCM hakuna anayejiunga CCM Kwa manufaa ya Chama, watu kibao wanakuja km mafisi tena waogope Sana..km ukoma.
Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.
Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.📌🔨
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Hii picha ni kitu gani?
 
Hii picha inapaswa kusambaa kote.

Ubaya ni kua watu wanadhani anaetaka mabadiliko basi ni cdm.

Kiukweli ni kituko kushiriki uchaguzi wa namna hii, ninyi kina Mshana Jr ilikuaje mkashiriki chaguzi zilizopita kwa mifumo kandamizi namna hii??
Wanaccm wengi wanapinga vikali maswala ya unyama na ukatiri.
 
Ni kwa maslahi ya matumbo tu mkuu ila bila hivyo hamna kitu kwenye kile chama.

Kuna watu kweli wanahatarisha amani na tushaona huko nyuma wakifyekwa, ila hawa wanaotaka reforms kwenye uchaguzi amani gani inahatarishwa??

Hawa jamaa ni issue ya muda tu.
 
Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.📌🔨
Ndo maana wale wazee waasisi wa Chama wamepigwa vibuti, wakitaka kuongea/kuishauri Chama Kwa mwelekeo wanaoenda nao siyo...ahaaa Wazee wanatupiliwa mbali...Kwaiyo sasa na wale wazee wenye njaa nao wakiona mwenendo ndo uwo waunga njia ....moja kwamoja ihenaihena.
Kumbe ndo Jahazi linazama.
Sasa wenye akili ndo wanaumia...ila wajinga wajinga wanashangilia.
Ogopa Sana parale state.
 
Ni kwa maslahi ya matumbo tu mkuu ila bila hivyo hamna kitu kwenye kile chama.

Kuna watu kweli wanahatarisha amani na tushaona huko nyuma wakifyekwa, ila hawa wanaotaka reforms kwenye uchaguzi amani gani inahatarishwa??

Hawa jamaa ni issue ya muda tu.
Inashangaza sana anayehubiri Haki, Utengamano na utawala bora ndiye anaitwa mhatarisha amani.
 
Unafikili yote haya usemayo yanaweza kuzuia kusudio la Mungu ,sio kaeni mkao sawa , siasa za nchi hii zimeisha badilika sana hapo ccm mnahitaji brain kweli kweli angalau kujaribu kucheza mdundo huu,
🤣 🤣 🤣 nakuonea huruma ila ushaingia kwenye mfumo utafanyaje sasa, endeleza kelele
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Mbona sasa wamefuta msura umebaki ushungi tu?
Kama mtu unamkataa, unamkataa na shungi lake.
 
🤣 🤣 🤣 nakuonea huruma ila ushaingia kwenye mfumo utafanyaje sasa, endeleza kelele
Sawa ,mimi ni mtu ninaejielewa ,sijai kwenye mfumo kishabiki tu, ukweli wa Mungu ni kwamba hakuna wa kuzuia kusudio la Mungu, wewe jiulize ulipo ,umeyapitia mangapi na ukavuka wafikiri ni ujanja wako? jibu ni hapana bali ni kusudio la Mungu aliekuleta Dunia halijatimia, likitimia utashangaa kila mti unaoshika unateleza
 
Back
Top Bottom