Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

uchaguzi haufanyiki jamii forums mtumishi wa mungu, wengi wa kampeni yenu sio wapiga kura na pia hamfanyi uchaguzi. siku hiyo mtalala huku CCM ikichaguliwa tena.....kiufupi lissu ameshawapoteza.....naskia ushirika wenu umeuzwa? halafu , ikiwa mmeparaganyika ivi mtawezaje kutetea haki ya kusagana na mashoga ili muharibu umma wa watizedi ? mana jambo hilo linahitaji umoja mkubwa sana.
20250608_030114.jpg
 
20250608_025948.jpg
 
Endelea kusikia.. Ila mjue anakuja
FB_IMG_1749353962223.jpg
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
No reform no election
 
uchaguzi haufanyiki jamii forums mtumishi wa mungu, wengi wa kampeni yenu sio wapiga kura na pia hamfanyi uchaguzi. siku hiyo mtalala huku CCM ikichaguliwa tena.....kiufupi lissu ameshawapoteza.....naskia ushirika wenu umeuzwa? halafu , ikiwa mmeparaganyika ivi mtawezaje kutetea haki ya kusagana na mashoga ili muharibu umma wa watizedi ? mana jambo hilo linahitaji umoja mkubwa sana.
Shoga katika ubora wako
 
Ccm wamevamia mtumbwi wa vibwengo
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
kua wa kwanza ama wa mwisho sio hoja, ata mm naweza anzisha movement yoyote lakini naanzisha kelele tu ama naanzisha mkakati? tukiangala no reform yenu, haina mantiki kwa sababu kuzuia uchaguzi hamuwezi, amna haja ya kuingiza watu kwenye matatizo ambayo ytaishia kuwaletea laaana tu

watu wamepoteza maisha kwa sababu ya hizi movement zenu za kishamba
Aliyewapotezea maisha ni nani, walijiua au waliuwawa
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
Bado wanajifanya kutaka kufurukuta???

Mae naona grader halijawatosha hawa, sasa ngojastuingie chimbo halafu tuje na roller compactor tuwashindilie na kuwasagasaga kabisa.

Inaelekea hawajifunzi, kila wanachokuja nacho kinabuma, waliujaribu uchaguzi wa CHADEMA, wakajaribu G55, wakamkamata Tundu Lissu bado moto ukawa mkali zaidi na zaidi, wamejaribu kumtengeneza Gwajima , bado hali ikazidi kywaelemea na sasa wanakuja na huo ujinga wao wa 'Oktoba Tunatiki'! Halafu na wenyewe wanaenda ku post wapi? Wenyewe si ndiyo wanaishi kwenye nyumba ya vioo. Si ndiyo wanafungia mitandao?
Ngoja tukalete roller compactor
 
Muktadha wa mada ni swali nani kaingia kwenye 18 za mwenzake.... Naona nawe umeshaingia kwenye mfumo maama umeshindwa kuwaza tofauti😀
Ana Kisirani Sana....Ndio Shida Yao Unaibua Hoja,,Badala Wajikite Kujibu Hoja,,,Wanaropoka Kama Wako Kijisehemu Wanapukutisha Haja...
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
Hiyo Oktoba tunatiki wakiweka tunaweka No reform No Election zakutosha wanaishia kupiga Black mana unatakawa roho ngumu ku weka Oktoba tunatiki kifupi wamezidia vibaya mno
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
Samahani mkuu, ule Uzi wako umeshafikisha hata replies 2000 kufikia Leo? Maana jumatatu ni kesho tu.
 
Back
Top Bottom