Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Heko! Hoja iko vema. Ushauri, ikikupendeza hoja zako wajibu wale welevu (panda mbegu panapofaa). Wale wapumbavu(wanaojitoa ufahamu/chawa/washezi/punguani), ikifaa usiwajibu! Wapumbavu wengi, welevu wachache!
 
Sawa ,mimi ni mtu ninaejielewa ,sijai kwenye mfumo kishabiki tu, ukweli wa Mungu ni kwamba hakuna wa kuzuia kusudio la Mungu, wewe jiulize ulipo ,umeyapitia mangapi na ukavuka wafikiri ni ujanja wako? jibu ni hapana bali ni kusudio la Mungu aliekuleta Dunia halijatimia, likitimia utashangaa kila mti unaoshika unateleza
siasa na Mungu havikai pamoja, izo izo siasa ndo zilisababisha yuda akakubali pesa na izo izo siasa ndo zilifanya lowasa akaenda chadema, unaweza ukahisi unajielewa lakini kumbe umaskini unakusumbua
 
siasa na Mungu havikai pamoja, izo izo siasa ndo zilisababisha yuda akakubali pesa na izo izo siasa ndo zilifanya lowasa akaenda chadema, unaweza ukahisi unajielewa lakini kumbe umaskini unakusumbua
Bora kuwa maskini kuliko kuwa mtumwa wa fikra, kama siasa na dini havikai pamoja ,mnapoteuliwa iweje kuapa kwa kumia vitabu vitakatifu, muwe mnaapa kwa kutumia ilani ya ccm.

Michango ya kujenga makanisa mnatoa ya nini, kwa nini wanasiasa wanasema waombewe si waende kuombewa kwenye mizimu
Acheni aya mambo
 
hakuna sehem yoyote siasa ishawahi kueleweka na ndo inavotakiwa kua ivo, unatumia nguvu nyingi sana kutaka uelewe siasa maisha hayako ivo ndo maaana watu wakiondoka chadema mnawaona wasaliti, hamjakua kiakili bado na hamjui siasa ni nn, mlipewaga ushauri mzuri sana sema kwa vile akili zenu mbovu hamkuufuata

View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM&pp=ygUObG93YXNhIGNoYWRlbWE%3D
 
nenden sasa mkavuruge uchaguzi comment hazisaidii chochote
Napendekeza mjitangaze wenyewe ili kuokoa gharama na mda , mpaka sasa uchaguzi wa kura umeisha sambaratika mkuu,

Waziri mkuu awe Mbunge msukukuma

Fedha, mpeni mbunge kibajaji

Kilimo na viwanda mpeni mbunge Tale

Uvuvi na mifugo Mbunge kishimba

Madini na nishati mpeni yule Mbunge wa njombe
 
Haya yote yalikuwemo kwenye KATIBA PENDEKEZWA kupitia umoja wenu wa kilofa wa UKAWA mkaipinga KATIBA Ile mkijua kua, kukwama kwa KATIBA PENDEKEZWA ni kubaki na KATIBA MBOVU, inayozalisha Sheria MBOVU.
Na MSOGA alikuonyeni mkampuuza.
Mlishalikoroga, linyweni hivyo hivyo hata kwa kufumba macho.
NRNE.jpeg
 
Kama CDM inaelekea kufa why nguvu kubwa inatumika kuidhibiti hata kwa namna haramu.? U can't kick a dead horse.🤧
 
Napendekeza mjitangaze wenyewe ili kuokoa gharama na mda , mpaka sasa uchaguzi wa kura umeisha sambaratika mkuu,

Waziri mkuu awe Mbunge msukukuma

Fedha, mpeni mbunge kibajaji

Kilimo na viwanda mpeni mbunge Tale

Uvuvi na mifugo Mbunge kishimba

Madini na nishati mpeni yule Mbunge wa njombe
basi mtulie sasa kama uchaguzi ushaisha fanyen mambo mengine
 
hio movement yenu ni ya kishamba! unasema no election na hakuna kitu unaweza kufanya kuzuia uchaguzi kama sio pombe ni nn
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

Tuna vituo ambavyo polisi na siraha zao hawata kuwepo Kwa kuwa wapo wachache nchi nzima!!

Vile VITUO vichache vitawakilisha vingi.Nikuhakikishie mwaka huu uchaguzi haupo

Wasimamizi wote wavituo hivyo mtawakuta hospitali na mabox yao ya kura mapya
 
Back
Top Bottom