Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

kwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣
Kwani huo uchaguzi ni kwa ajili ya akina nani? Kama ni wa wananchi wote tukae tufanyeutaratibu jinsi ya kutumia hiyo haki ya kura @ mshiriki aridhike.

Kama mabadiliko hayatafanyika hatatakwenda kupiga kura na tutapaaza sauti dunia ijue Tanzania hakuna uchaguzi.

Kama ni uchaguzi wa chama wafanye.
 
uchaguzi haufanyiki jamii forums mtumishi wa mungu, wengi wa kampeni yenu sio wapiga kura na pia hamfanyi uchaguzi. siku hiyo mtalala huku CCM ikichaguliwa tena.....kiufupi lissu ameshawapoteza.....naskia ushirika wenu umeuzwa? halafu , ikiwa mmeparaganyika ivi mtawezaje kutetea haki ya kusagana na mashoga ili muharibu umma wa watizedi ? mana jambo hilo linahitaji umoja mkubwa sana.
Umeshawajibu UN na ndege zenu zinazosababisha watanzania tunakula majani kama mbuzi
 
kua wa kwanza ama wa mwisho sio hoja, ata mm naweza anzisha movement yoyote lakini naanzisha kelele tu ama naanzisha mkakati? tukiangala no reform yenu, haina mantiki kwa sababu kuzuia uchaguzi hamuwezi, amna haja ya kuingiza watu kwenye matatizo ambayo ytaishia kuwaletea laaana tu

watu wamepoteza maisha kwa sababu ya hizi movement zenu za kishamba
Ndio tupo tayar kupotez na yetu pia in WIN WIN SITUATION OR BOTH TEAM TO SCORE✌️✌️✌️
 
uchaguzi haufanyiki jamii forums mtumishi wa mungu, wengi wa kampeni yenu sio wapiga kura na pia hamfanyi uchaguzi. siku hiyo mtalala huku CCM ikichaguliwa tena.....kiufupi lissu ameshawapoteza.....naskia ushirika wenu umeuzwa? halafu , ikiwa mmeparaganyika ivi mtawezaje kutetea haki ya kusagana na mashoga ili muharibu umma wa watizedi ? mana jambo hilo linahitaji umoja mkubwa sana.
Another hallucinator
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
No,ER, No E

No electroral reforms 2025, no elections 2025

No.ER,2025, No.E,2025
 
Ana Kisirani Sana....Ndio Shida Yao Unaibua Hoja,,Badala Wajikite Kujibu Hoja,,,Wanaropoka Kama Wako Kijisehemu Wanapukutisha Haja...
Yaani N.R.N.E imewapiga pabaya mno.. Wanaongea kama wamechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom