Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

Yaani chama kife huku wenye chama "hai" wakisikia CHADEMA inatajwa wanapata muweweseko!?

CCM inapiga mateke ya mkata roho.

NO REFORMS NO ELECTION!
doooh na wewe move on chama kishakufa hicho, unarusha mateke ya mkata roho
 
Tulishakipata😭😭😭View attachment 3360116
Unajibizana na mtu ambaye maneno yake yanafurahisha uso, huku imani na moyo wake unaamini kwamba atatajirika kwa kubeti. Yaani anadanganya mama anaupiga mwingi na biashara kufunguka lakini kwake yeye hajafunguliwa hata genge. Zaidi sana ameingia kwenye uwekezaji wa kumvizia muhindi
 
kwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣
Cheka tu maana unajua kabisa dola itawalinda lakini ujumbe uwafikie huku kitaa blaza hamkubaliki hata chembe zaidi ya machawa ambao wanahaha kuwanadi kwa kuzingatia maokoto lakini hamkubaliki miongoni mwa watu timamu khabari ndio hiyo
 
mkimaliza kucomment kila sehem mtuambie tukapige kura october
Wazee wa tiki si mpo😃😄😀😆

Wenye chama chao wakiona jinsi mnavyojipendekeza wanacheeeeka. Wanashangaa kuwa pamoja na madhila yote wanayowafanyia inawezekanaje bado kukawa na watanzania wanaowashabikia!
 
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji

Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa

Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
wadhalimu weshajaa kwenye mfumo
 
uchaguzi haufanyiki jamii forums mtumishi wa mungu, wengi wa kampeni yenu sio wapiga kura na pia hamfanyi uchaguzi. siku hiyo mtalala huku CCM ikichaguliwa tena.....kiufupi lissu ameshawapoteza.....naskia ushirika wenu umeuzwa? halafu , ikiwa mmeparaganyika ivi mtawezaje kutetea haki ya kusagana na mashoga ili muharibu umma wa watizedi ? mana jambo hilo linahitaji umoja mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom