figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
mia
Hilo nondo DCM liko kama Land rover.bila ya shaka liko barabarani linapiga mzigo kama kawaida
Kitu Mbagala-Mwenge hiyo,
au Kawe-Mtongani
hii itakuwa mbagala feri. Mia
Mbagala-Feri (If you meant Mbagala-Kivukoni) ingekuwa na rangi moja tu, hiyo rangi ya kiny*si...
Since kuna rangi ya zambarao hapo, ambayo ni route za Kawawa & Bagamoyo Roads, hiyo gari itakuwa kama nilivyosuggest hapo juu.
It reminds me of msela'angu Barnaba, wakati akisoma Kibasila, alikuwa hapandi gari kama sio DCM.