hapa mwisho mwisho kabisa

hapa mwisho mwisho kabisa

jamani, kwani nimebisha?. au unataka uongee wewe tu mkuu. wape uhuru hata watu wengine bana. Mia

thread zenu sisipochangiwa, munaanzisha nyengine ya malalamiko.
Mdau nimejitokeza, haunitaki, haya bwanga.
Nalog off,
kwa hisani ya Washawasha!
 
alafu useme service inafanyika baada ya muda gani hapo!!! du kweli Bongo ni zaidi ya unavyoijua

huwa yanakaa gereji miaka wiwili kurekebisha bodi alafu linaingia kwa njia bila hata kuangalia mambo mengine ya msingi.
 
HII+NAYO+AJALI!+MBAGALA+HIYO.jpg

mia

duuu bora haijaua aiseeee....
 
Ningekuwa na hela ninge invest kwenye usafiri. Ki ukweli ni kero sana wakati wa jioni. Wengine wanaaishia kunywa bia ili ifike mida waende nyumbani maana kugombania usafiri imekuwa kero.
 
kweli ilitokea pale mbagala zakheim ilikuwa mida ya jioni hivi niliikuta hapo live,hakuna aliyejeruhiwa
 
Shida ya gereji za uchochoroni na mafundi uchwara!
 
naamini abiria wote walipona, lakini baada ya kushuka na kuona kilichotokea, waliangua bonge la kicheko!:lol::lol::lol:
 
Nhi nhi nhi nhi nhi, hapo nacheka kwa kichina.
 
Kweli hali si shwari ktk usafiri dar chakumshukuru Mungu watu walipona
 
Halafu abiria wenyewe wametoka kwenye gari bila hata kuzungumza chochote tatizo dogo kama gari limepata pancha vile kwao hiyo ndo mbagala hakunaga
 
Back
Top Bottom