Aishi Manula, mwanzo wa mwisho wa ufalme?

Itakuwa anataka aende Azam Manula hawezi kubali kuwa second keeper
Kwenye historia ya Simba Manula ndo golikipa aliyerusu magoli mengi tuliyofungwa kwa mechi moja moja.

Al Ahly 5- Simba 0 kipa Manula.
As Vita 5- Simba 0 kipa Manula.
Raja 3- Simba 0 kipa Manula
Yanga 5-Simba 0 kipa Manula
Kaizer Chief 4- Simba 0 kipa Manula
Algeria 7- Taifa Stars 0 kipa Manula.
Manula hafai kabisa
 
Back
Top Bottom