hapa mwisho mwisho kabisa

hapa mwisho mwisho kabisa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,900
Reaction score
63,537
HII+NAYO+AJALI!+MBAGALA+HIYO.jpg

mia
 
hahahahahaa.....chezea DCM wewe....gari imeacha matairi.
 
Hilo nondo DCM liko kama Land rover.bila ya shaka liko barabarani linapiga mzigo kama kawaida
 
hahaha kazi kweli kweli hili ni gobore haswaa.
 
konda kaangalie kama tumepata pancha tairi zote. hahahaaa
 
Halafu kwenye kioo kuna Mithali 10:4 Mikono mivivu hufanya mtu maskini lakini mikono yenye bidii ...
 
SIpati picha waliokuwa ndani siku hiyo walijisikiaje
 
hii itakuwa mbagala feri. Mia

Mbagala-Feri (If you meant Mbagala-Kivukoni) ingekuwa na rangi moja tu, hiyo rangi ya kiny*si...
Since kuna rangi ya zambarao hapo, ambayo ni route za Kawawa & Bagamoyo Roads, hiyo gari itakuwa kama nilivyosuggest hapo juu.
It reminds me of msela'angu Barnaba, wakati akisoma Kibasila, alikuwa hapandi gari kama sio DCM.
 
jamani, kwani nimebisha?. au unataka uongee wewe tu mkuu. wape uhuru hata watu wengine bana. Mia
 
ihii kali kuliko ndo maana wanayaitaga gobore, mi sipandagi kabisa
 
hilo basi ustaarabu hakuna kabisa unaweza kuvaa shati jeupe alafu mtu akapita na ndoo ya samaki wabichi inavuja damu juu yako.ndio mbagala hiyo wenyewe wameisha zoea utakuta mtu hajawai kupita mlangoni ana miezi mitatu yeye ni dirishani tu.
 
Back
Top Bottom