hapa mkuu wa kaya anatoka wapi, mimi imenishitua kidogo sielewi elewi!!!!!1

Duh kumbe yuko katika utekerezaji wa ahadi
usikute huyo jamaa mwenye kamjengo hapo kwenye picha sasa anaishi
kwenye yale majengo yetu magogoni

anaangalia namna ya kuboresha maisha ya wadanganyika, na huko ndiko alikopatia kura nyingi sana.
 
Hapo panaitwa kidongo chekundu hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Nani kasema kuna mtu anapenda mambo yake yasikae wima,mzee anarekebisha mambo:bange::bange::bange:
 
Duh wewe umeamua kuwa mkweli zaidi
samahani unajua CHARGE za hapo, maana kwa babu kila mtu anajua,
arafu ni mambo gani yanarekebishwa hapo mahali ?

Hapo panaitwa kidongo chekundu hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:

Nani kasema kuna mtu anapenda mambo yake yasikae wima,mzee anarekebisha mambo:bange::bange::bange:
 
Alienda kwa babu kupata dawa ya kurudisha ushawishi na nguvu yake ya kisiasa
 
manafiki mkubwa huyu mtu wa watu anaweza kuwa huyu??ana toho mbaya kama nini muoneni hivo hivo anachekacheka....

nakubaliana nwe. msanii huyu...tena mwenye roho mbaya sana na visasi visivyoisha....ni mtu wa kukaa nae mbali sana. na ukichukulia kuwa uwezo wake ni mdogo ni terrible combinations kwa kiongozi wa nchi
 
Siyo kwa kalimanzila kweli?maana ana ile pete ka ya baba yake mlezi sheikh yahya.
 
attachment.php


''ANAJIVUA GAMBA LA NYASI..........KESHO ZITAOTA TENA''
 
hapo alitembelea vijiji vya wandorobo bila shaka huko arusha, wale ambao wako primitive hadi leo, lakini asingekuwa rais ningefikiri labda alienda kuchimba....,(utani tu, mi ni msukuma mtani wake, usimaindi mkuu wa kaya ok).
 
Back
Top Bottom