hapa mkuu wa kaya anatoka wapi, mimi imenishitua kidogo sielewi elewi!!!!!1

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
huku mkuu kafuata nini?

167786_139206459473190_100001515116093_227825_278699_n.jpg
 
wakuu naweza je kuweka pic kubwa, inanizingia kidogo
 
kuna nini cha ajabu dadaangu? kazi za taifa zinakupeleka kila sehemu au we unafikiri kenda salimu ndugu?
 
mimi sielewi vizuri ila mkuu mimi sio dada
duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kuna nini cha ajabu dadaangu? kazi za taifa zinakupeleka kila sehemu au we unafikiri kenda salimu ndugu?
 
itakua ni cultural village ya swaziland nini wanavijumba vya namna hiyo ukitaka kupita lazima uiname
 
sasa kwa nini nitoe?
kila ufisadi unapotokea waoteseka zaidi ni wanawake na watoto?
hapa mpaka kieleweke hakuna tena kina mama kulia kwa kupoteza watoto wao kwa kukosa tiba

kauli yako imenitibua sema ni hekima tu inanizuhia
toa sasa liavata lako hilo kama sio kiburudisho
 
sasa kwa nini nitoe?
kila ufisadi unapotokea waoteseka zaidi ni wanawake na watoto?
hapa mpaka kieleweke hakuna tena kina mama kulia kwa kupoteza watoto wao kwa kukosa tiba

kauli yako imenitibua sema ni hekima tu inanizuhia
Lifeofmshaba=VIKWAZO???
 
Kuisha yanaisha sema tu ni kitu just mipango bora isipokuwa ahadi hewa zikiwa nyingi basi hayaishi kaka
 
Back
Top Bottom