Hamlali Timu MboweMbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema wakiwa majumbani mwao
Lissu alitegemea hayo mambo yatafanywa ukumbini bila nje ya ukumbi yaani dunia kushuhudia ili maria space, Dr slaa, na baadhi ya wanaoishi nje wawahadae wanachadema kwamba lissu kaibiwa kura ili apate support.
Lissu hataipigiwa kura 1, lkn asubiri kimbunga cha kumkataa kutoka wajumbe.
Kilichobaki lissu atakuja na hoja ya kwamba wapiga kura wamehongwa huko huko kabla ya ukumbini pesa za Abdullah jambo litakuwa halina nguvu mtu mwenye akili kuamini hilo.
Lissu hakubaliki kuwa mwenyekiti Chadema
Mimi sio team MboweHamlali Timu Mbowe
Atakosa sababu ya kulalamika na kudanganya umma kwa kaipigiwa kuraSijaelewa mambo kuwa live yanamuathiri vipi Lissu Ama yeye ndiye anataka Kuiba kura Ili asalie madarakani?
Unajidhalilisha wewe na watoto wako.Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema wakiwa majumbani mwao
Lissu alitegemea hayo mambo yatafanywa ukumbini bila nje ya ukumbi yaani dunia kushuhudia ili maria space, Dr slaa, na baadhi ya wanaoishi nje wawahadae wanachadema kwamba lissu kaibiwa kura ili apate support.
Lissu hataibiiwa kura 1, lkn asubiri kimbunga cha kumkataa kutoka wajumbe.
Kwanini wamkatae.
Akipewa chama atavuruga legacy ya kila kiongozi tofauti na Mbowe. Lini na wapi Mbowe kavuja legacy ya Mtei, Bob makani na wengine anapotoa hutuba zake?
Lssu kabla hajapata, anaitetea legacy pekee ya msigwa lkn zote anaonesha atazivuruga. Mbowe anamwita fisadi na hata Bob makani na mtei inaonekana atawasakama
Kilichobaki lissu atakuja na hoja ya kwamba wapiga kura wamehongwa huko huko kabla ya ukumbini pesa za Abdullah jambo litakuwa halina nguvu mtu mwenye akili kuamini hilo.
Lissu hakubaliki kuwa mwenyekiti Chadema
Ife kwa lissu? Kapigwa kuna mtu katokq barabarani? Huoni duniani watu wanaopendwq?Lissu hasipo shida Chadema ife, kama ningekuwa ni mjumbe wa Chadema ,basi Lissu anafaa,
Usiseme atasema hivi au vile,usimlishe maneno,yeyote atakae shinda au kushindwa,ye binafsi ndo atajua cha kusema.Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema wakiwa majumbani mwao
Lissu alitegemea hayo mambo yatafanywa ukumbini bila nje ya ukumbi yaani dunia kushuhudia ili maria space, Dr slaa, na baadhi ya wanaoishi nje wawahadae wanachadema kwamba lissu kaibiwa kura ili apate support.
Lissu hataibiiwa kura 1, lkn asubiri kimbunga cha kumkataa kutoka wajumbe.
Kwanini wamkatae.
Akipewa chama atavuruga legacy ya kila kiongozi tofauti na Mbowe. Lini na wapi Mbowe kavuja legacy ya Mtei, Bob makani na wengine anapotoa hutuba zake?
Lssu kabla hajapata, anaitetea legacy pekee ya msigwa lkn zote anaonesha atazivuruga. Mbowe anamwita fisadi na hata Bob makani na mtei inaonekana atawasakama
Kilichobaki lissu atakuja na hoja ya kwamba wapiga kura wamehongwa huko huko kabla ya ukumbini pesa za Abdullah jambo litakuwa halina nguvu mtu mwenye akili kuamini hilo.
Lissu hakubaliki kuwa mwenyekiti Chadema
Hujui hata kuandika wewe chawa.Ife kwa lissu? Kapigwa kuna mtu katokq barabarani? Huoni duniani watu wanaopendwq?
Hoja sio hio, hoja kwamba lissu anashindwa vibaya dunia ikishihudiwa. Ile swala la maria space kwamba lissu ataibiwa itakuwa sio hoja tenaUnajidhalilisha wewe na watoto wako.
Wapi Lissu alisema hataki uchaguzi wa live?.
Mkuu hii iko wazi kabisa, yaani hao wajumbe watakuwa ni watu wajingaa sana wakimchagua tena mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti.Lissu hasipo shida Chadema ife, kama ningekuwa ni mjumbe wa Chadema ,basi Lissu anafaa,
Lkn hatodanganya tenaUsiseme atasema hivi au vile,usimlishe maneno,yeyote atakae shinda au kushindwa,ye binafsi ndo atajua cha kusema.
Huoni?Hivi kipindi mnaandika huwa mnashirikisha vichwa vyenu, hizo legacy za viongozi atazivurugaje?
Tumia akili yako japo kwa 10% kuandika vitu vyenye maana.
Kunguni unajua?Hujui hata kuandika wewe chawa.
...Kama hayo yatafanyika ni jambo jema, ni vizuri demokrasia ianzie ndani badala ya kupiga makelele.Wajumbe wataamuaMbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema wakiwa majumbani mwao
Lissu alitegemea hayo mambo yatafanywa ukumbini bila nje ya ukumbi yaani dunia kushuhudia ili maria space, Dr slaa, na baadhi ya wanaoishi nje wawahadae wanachadema kwamba lissu kaibiwa kura ili apate support.
Lissu hataibiiwa kura 1, lkn asubiri kimbunga cha kumkataa kutoka wajumbe.
Kwanini wamkatae.
Akipewa chama atavuruga legacy ya kila kiongozi tofauti na Mbowe. Lini na wapi Mbowe kavuja legacy ya Mtei, Bob makani na wengine anapotoa hutuba zake?
Lssu kabla hajapata, anaitetea legacy pekee ya msigwa lkn zote anaonesha atazivuruga. Mbowe anamwita fisadi na hata Bob makani na mtei inaonekana atawasakama
Kilichobaki lissu atakuja na hoja ya kwamba wapiga kura wamehongwa huko huko kabla ya ukumbini pesa za Abdullah jambo litakuwa halina nguvu mtu mwenye akili kuamini hilo.
Lissu hakubaliki kuwa mwenyekiti Chadema
LISSU HAPA ATAJUA UMUHIMU WA MDOMO...Kama hayo yatafanyika ni jambo jema, ni vizuri demokrasia ianzie ndani badala ya kupiga makelele.Wajumbe wataamua