Hapa Lazima Jamaa Ajisaidie!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
SIMBAZ.jpg
 
hapo ameshakumbuka na kuzitubu dhambi zake zote within seconds
 
iish...hapo hata usitake kujifanay mjuaji..we unampa zake "Hi.." afu huyo unarudi zako kuendelea kusoma kitabu kama kawa..mwenyewe atabloo..
 
Chezea wazungu weye! ukute huyo simba kamfuga anatalii nae.Hakuna madhara hapo!
 
Kama ni mimi nitajifanya mnyonge mpaka adhanie ni mzoga,halafu wakati anajiuli natoka nduki kwenye mti halafu ndo najikagua kama nimejinyea au la.na kama nimejinyea ndo naanza kujicheka.
 
Kuna watu wanadai Simba wana aibu sana ukiweza kumtazama uso kwa uso hawezi kukufanya kitu. Sijui kama ni porojo tu za mtaani au ni kweli.
 
Kama ni mimi nitajifanya mnyonge mpaka adhanie ni mzoga,halafu wakati anajiuli natoka nduki kwenye mti halafu ndo najikagua kama nimejinyea au la.na ka ma nimejinyea ndo naanza kujicheka.
Uuwiiii...hahaaaaaaaaaaaa..Nimecheka kwenye daladala kama chizi vile
 
Back
Top Bottom