Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,226
- 98,182
Nawe nenda ukaungane naye huko aliko13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima [emoji123][emoji123]
Nawe nenda ukaungane naye huko aliko13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima [emoji123][emoji123]
Teuzi asahau kabisa huyoUnazidi kuzeeka tu teuzi zinazidi kukupita
Kwani wewe unaenda kuungana na yule jamaa yenu kule kwa kina rob amster?Nawe nenda ukaungane naye huko aliko
Naunga mkono hoja!....Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Nilikuwa sijazaliwa wakati inasimama kufanya kazi, kwa hiyo sijui nani alisababisha! Ila namjua aliyeifufua ni Dr John Pombe Magufuli (Rip), Rais wa awamu ya tano.Aliyesababisha isifanye kazi ni nani?
Amefufua treni za Tanga-Arusha zilikua zimekufa,reli zilikua ni screpa tu.Hapo no 3 hiyo treni ya Moshi aliifanyaje maana hata treni yenyewe jina lake kwa kiswahili sanifu ni Gari Moshi. Treni ya kwanza nchini ilijengwa na Mjerumani toka Tanga kwenda Moshi
Hujui kuwa aliyeanzisha huo ujenzi ulimshinda kumaliza likabaki pagale tu lisilofanya kazi na pesa hakuna?Terminal 3 sio yeye kaifungua tu mbona mnakua hivyo
Japo kwa kabila ni Msukuma, ila mimi sio member wa the Sukuma Gang, kwasababu hili Sukuma Ganga ni fictitious group, it doesn't exist in reality.Sukuma gang at work
Hilo kundi bado lipo sana ingawa ndiyo linatupa mateke yake ya mwisho kama farasi anaye kata roho.Japo kwa kabila ni Msukuma, ila mimi sio member wa the Sukuma Gang, kwasababu hili Sukuma Ganga ni fictitious group, it doesn't exist in reality.
P
Nenda kaburiniKwani wewe unaenda kuungana na yule jamaa yenu kule kwa kina rob amster?
Kazi ya kwenda haja siyo...tushaiona hiyo chief..cha msingi ujifute vizuri - harufu ya inyaaaKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Duh...!, yaani unamaanisha ndio the last kick of a dying horse!.Hilo kundi bado lipo sana ingawa ndiyo linatupa mateke yake ya mwisho kama farasi anaye kata roho.
Na wewe nenda ukutaniNenda kaburini
Wew ni mpu...mbavuHapo no 3 hiyo treni ya Moshi aliifanyaje maana hata treni yenyewe jina lake kwa kiswahili sanifu ni Gari Moshi. Treni ya kwanza nchini ilijengwa na Mjerumani toka Tanga kwenda Moshi
PointlessNa wewe nenda ukutani
Korona inaweza kweliNa wewe nenda ukutani
Magufuli alikuwa moja ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania. Style yake ya kuweka msimamo na kuongoza bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ilikuwa poa sana. Duniani kote, viongozi ngangari ndio wanaovusha watu wao sio bla bla tu.Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Kutokuwa umezaliwa siyo execuse ya kutokujua. Hiyo ni hoja ya kitoto.Nilikuwa sijazaliwa wakati inasimama kufanya kazi, kwa hiyo sijui nani alisababisha! Ila namjua aliyeifufua ni Dr John Pombe Magufuli (Rip), Rais wa awamu ya tano.
Very low IQ. Unadhani ungeweza kutoa comment ya maana zaidi ya hii?