Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,484
- 2,891
Usisahau ujio wa Twiga Corporation kwa serikali kuwa mwanahisa kwa 16% na kuwa sehemu ya bodi.Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Usiwasahau wakazi wa magomeni kota kurejeshwa kwenye nyumba za hadhi.
Usisahau kudhibiti mauaji ya ndovu.
Usisahau uamuzi wa kuijenda dodoma na mji wa serikali kwa kampuni za ndani. Kuna nyakati hata ghorofa ndogo lazima mchina apewe.
Mzee aliamua ikulu ijengwe na mikono wa Watanzania. Huu ulikuwa uamuzi wa kiume na wa kiouongozi.
Usisahau aumuzi wa kufunga shule kwa muda wakati wa Covid then shule na vyuo kufunguliwa pasi wanafunzi kupoteza mwaka. Kenya, Uganda, Rwanda mfumo wa masomo umepoteza miaka 2;
Mzee yule kama mwanadamu alikuwa na liabilities zake, ila kwa wingi wa assets zake, tu-celebrate urithi aliotuachia.
