6years v/s 1yearKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
6years v/s 1 yearDaraja la Busisi
Upanuzi wa barabara za Arusha
Kukarabati na kujenga meli mpya
Kupunguza ubadhirifu
Usimamizi imara wa kodi na mapato ya nchi
6years v/s 1 yearDaraja la Busisi
Upanuzi wa barabara za Arusha
Kukarabati na kujenga meli mpya
Kupunguza ubadhirifu
Usimamizi imara wa kodi na mapato ya nchi
6years v/s 1yearDaraja la Busisi
Upanuzi wa barabara za Arusha
Kukarabati na kujenga meli mpya
Kupunguza ubadhirifu
Usimamizi imara wa kodi na mapato ya nchi
6years v/s 1yearKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
6years v/s 1 yearNaunga mkono hoja
P
6years v/s 1 year13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima [emoji123][emoji123]
6years v/s 1 year.Hivi tukiondoa shule zilizojengwa kwa msaada wa fedha za kovidi..awamu ya 6 ina lipi la kujidai?mbele za watanzania.
#MaendeleoHayanaChama
Nje ya mada!6years v/s 1year
Nje ya mada!6years v/s 1 year.
Aliharibu sana kwao kutakuwa magofu soonKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Nje ya mada!6years v/s 1 year
Ndio ukweli.Ni sawa na mtoto wa mwaka,umshindanishe na mtoto wa miaka 6.Nje ya mada!
Nje ya mada6years v/s 1 year
Wa darasa la kwanza,umshindanishe na wa darasa la sita.6years V/S 1yearNje ya mada!
Mzee Mwinyi: Kazi iliyotushinda sisi WATATU kwa miaka 30 Magufuli kaifanya kwa miaka 3!Ndio ukweli.Ni sawa na mtoto wa mwaka,umshindanishe na mtoto wa miaka 6.
Wewe ndio unalinganisha vitu visivyolingana.Wa darasa la kwanza,umshindanishe na wa darasa la sita.6years V/S 1year
Sio kweli,mzee Mwinyi,alisema anasahau,hata jina la Mama Siti,alisema amelisahau.Atakumbuka mambo ya miaka 30.Mzee Mwinyi: Kazi iliyotushinda sisi WATATU kwa miaka 30 Magufuli kaifanya kwa miaka 3!