Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,698
- 7,907
Kama walifanya pamoja,mbona unasema alifanya peke Yake.Wewe ndio unalinganisha vitu visivyolingana.
Kazi za Magufuli ndio kazi za Samia walifanya pamoja, samahani lakini!
Kazi Iendelee.
Kama walifanya pamoja,mbona unasema alifanya peke Yake.Wewe ndio unalinganisha vitu visivyolingana.
Kazi za Magufuli ndio kazi za Samia walifanya pamoja, samahani lakini!
Kazi Iendelee.
Unaelewa maana ya Kazi Iendelee?Sio kweli,mzee Mwinyi,alisema anasahau,hata jina la Mama Siti,alisema amelisahau.Atakumbuka mambo ya miaka 30.
Mzee Mwinyi,alisema,hana kumbukumbu,jina la Mama Siti alilisahau,atakumbuka mambo ya miaka 30.Mzee Mwinyi: Kazi iliyotushinda sisi WATATU kwa miaka 30 Magufuli kaifanya kwa miaka 3!
Utaelewa tu.Unabadilisha gia angani.Mbona mwanzo,hukumjumuisha Mama Samia,katika hiyo miaka 6.Unaelewa maana ya Kazi Iendelee?
Samahani lakini.
Terminal 3 sio yeye kaifungua tu mbona mnakua hivyo13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima![]()
Ndio maana nikakwambia wewe uko nje ya mada kwa sababu umevamia usichokielewa.Kama walifanya pamoja,mbona unasema alifanya peke Yake.
Zitto Kabwe ana kazi kubwa sana kuwaelimisheni aiseee!Utaelewa tu.Unabadilisha gia angani.Mbona mwanzo,hukumjumuisha Mama Samia,katika hiyo miaka 6.
Kuanzia mwaka huu... tarehe 17.3 na kila mwaka ya tarehe hiyo, itakuwa SIKU MAALUMU YA KITAIFA...KUADHIMISHA na kumshukuru Mwenyez Mungu kwa maisha ya Kiongozi na Mzalendo John P. Magufuli.Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Magufuli aliua Reli hiyo akiwa Waziri wa Uchukuzi ili afufue apate kimoja cha kuacha akipata Urais. MaCCM mtamsifia kwa kujenga Ikulu ya Dar!Mkuu, ina maana hujui kuwa reli ya Moshi ilikuwa haifanyi kazi kwa zaidi ya robo karne?
Asisahau na Ile Nyumba ya GSM ambayo Makonda anadai ya kwake bila vielelezoOngeza na Tundu lissu
Akwilina
Mo
Azory
Ben saanane
UGAIDI KESI ya Mbowe
6years v/s 1 year
6years v/s 1year
Ndio nini?6years v/s 1year
Aliyesababisha isifanye kazi ni nani?Mkuu, ina maana hujui kuwa reli ya Moshi ilikuwa haifanyi kazi kwa zaidi ya robo karne?
Badala uwapongeze WATANZANIA kwa moyo wao mzuri wa kulipa kodi.Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Double kick duuuu anyway hicho ndiyo kinywaji chakeHii ndio shida ya kuamkia kiporo cha makande, utakuwa umevimbiwa wewe kapate double kick ukae sawa.
Sukuma gang at workNaunga mkono hoja
P
Umeonaeeeee?Siku zinakaribia naona mnazidi kupata wazimu tu mpaka ikifika tarehe 17 wengi tutapeleka milembe.
Cc:Kipara kipyaSiku zinakaribia naona mnazidi kupata wazimu tu mpaka ikifika tarehe 17 wengi tutapeleka milembe.
Haifaidouble kick ni noma